Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kardinali Pengo ameiasa jamii kuacha kudai haki kwa Njia ya MAANDAMANO,amesema kuwa baadh ya wanasiasa huwahadaa vijana kwa kuwahamasisha vijana kuandamana jambo linalohatarisha usalama: My...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Hii sasa ni rasmi kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma Tanzania kwa mwaka 2011, kimepanda kutoka shilingi za Kitanzania 135,000/= mpaka 150,000/=. Hii ni kwa mujibu mishahara...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Ana watoto 84 na siyo wanawake!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Published on Monday Nov 28 Dec 2011, 6:00 AM Last Update: 9 months ago by rainbow Tags: Tourism Tanzania top destination Tanzania has been named as one of the top 10 destinations in the world to...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu zimepita siku nyingi sasa hatujasikia habari mpya kutoka Arusha. Mimi binafsi nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara Lema amekuwa akisumbuliwa na jeshi la polisi kwa lengo la kunyamazisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
:shock:Hebu angalieni hiki kideo ndo mtajua mamtoni ni raha au karaha! My Tram Experience - YouTube
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninyi mko pande ipi?!! TAFAKARI CHUKUA HATUA > > > > > --- TYPES OF HUSBANDS > > MR MONKEY : > Mr Monkey is only married on paper but in reality he is still a > bachelor. He married...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nasikilza redio moja jamani kuna waziri wa serikali ya iliokuwa ya zambia amekutwa ameweka mapipa mawili chini na kusakafia na tiles kumbe chini kaweka doller zenye thamani ya shi million 800...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey guys. . . Kwa wale ambao mnajua naomba mniambie temporary travelling document zetu hua zinaonyesha nini na nini(tar ya kuzaliwa,jina. . . . )?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
nipo hapa manyara mjini ni metokea tarangire nilitakiwa niingie manyara national park mchana huu then nika overnight karatu niendelee na safari nimekwama hapa nje ya manyara national park daraja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani sauti iko ovyo kupitia katika Ving'amuzi! hii inakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Yanayoendelea kujuzwa humu jamvini kuhusu mustakabari wa nchi yetu Kisiasa na Kiuchumi, yanachosha na kutia kinyaa. Nina hoja moja tu. Hivi hakuna vijana huko jeshini wachukue hii nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posho za wabunge zapanda kimyakimya Send to a friend Monday, 28 November 2011 08:24 0diggsdigg Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Habari wana jf Nimekuwepo Dar es Salaam na na-experience mgao wa umeme wa mara kwa mara. Hii imekuwa mitaani (residential places) lakini na mjini pia (katikati ya mji na Kariakoo) kuna ukatikaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Juzi mchani nikiwa natoka kibaha kwenda mjini Dar nilikwama njiani eneo la kibamba CCM kwa muda wa saa 3. Jana jioni nikiwa natoka kibaha kwenda kiluvya madukani imenichukua saa 2 (mita 800) kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Polisi jamii imezua jambo.Katika Daraja la Ubungo,Stendi ya kuelekea Mwenge,nyakati za usiku kuna matapeli.Hayo nimeyaona jana majira ya saa mbili usiku nilipokuwa nasubiri daladala kuelekea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati wa mfumo wa chama kimoja waakati wa chama kushika hatamu, ccm ilitumia pesa za uma kujengea majengo mbalimbali pamoja na viwanja vya michezo na kujifungulia miladi. Niwakati ambao mwenge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mabadiko yametokea Dar ambayo hata baadhi ya wakazi wake hawayafahamu. Yalianza kama miezi mwili ilopita. Kuna barabara maarufu kutoka Feri kwenda Aga khan hospitali kupitia pembezoni mwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
sitaki kuamini mtu unakaa 5 hours kusubiri service..hawa akina dada hapa customer care hawana wanalolifanya wanajizungusha tu na kuongea na simu. yaaaani i wish hili shirika libinafsishwe....hovyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom