Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii ni ajali ya jana pale karibu na kanisa la fgbf karibu na mlima city
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mazungumzo ya mahasimu wawili kisiasa nchi, jana yalisitishwa ili JK na wapambe wake wakayatafakari mapendekezo ya CDM kabla ya kuyatolea maamuzi. Naona kama marafiki hawa wanacheka pamoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inaonekana kwa watanzania hakuna namna yoyote, ama mtindo mbadala wa kucheza muziki, ama kunengua ngoma za asili bila ya kukata MAUNO. Naweza kusema kuwa tumefeli kwa kukosa ubunifu wa kupata...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Nape amejikuta akitumiwa bila ya yeye kujielewa kwamba anatumiwa.Alikuwa amefumba macho na kuziba masikio kiasi cha kutosikia kauli ya mwenyekiti wake kuwa 'akili ya kufundishwa iongezewe na ile...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
DAR ES SALAAM residents look at a vehicle with registration number STK 5925, belonging to the Rukwa Regional CCM Secretary, heading to Dar es Salaam from Dodoma, which was involved in a head on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini...
0 Reactions
82 Replies
12K Views
Sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jina lako linafanana na zile tabia zilizo sababisha sodoma na gomora zichomwe kwa ndimi za moto kutoka mbinguni. Umekuwa mstari wa mbele kwenye kutete haki za mashoga, ulipokuwa una laani kitendo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Inatokea mara kwa mara mtu unapata usumbufu hasa airport ya Mwanza kwa makosa ya airliner. Leo nimepata uzoefu ambao kwa kweli umeniudhi sana na nafikiri kunahaja ya kuchukua hatua wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marafiki zangu na ndugu zangu wa JF, nawakosa sana vituko,ucheshi,ushauri na utani wa hapa na pale ambao tumekuwa tukiushi kusogeza siku mbele. Licha ya kuwa na majukumu makubwa ya ajira na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nchi imenuka kila mtu anafahamu kila sehemu njaa, ajali zakizembe, ufisadi, ajira hakuna, rasilimali zinachukuliwa mchana kweupe tunaangalia kama filamu vile, uharibifu mkubwa wa ardhi usiokuwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kama vile miaka 6 imepita hatuna rais wala mawaziri makini lakini mambo yanakwenda ingawa ni kimkandamkanda, kwanini tusiziachie kamati za bunge zikafanya kazi zao.?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la Unafiki sana pale ambapo Udini unapo wanufaisha CCM halalamiki!! Ukweli ni kwamba Lowassa ameacha kabisa kazi ya Maendeleo kwa Taifa na sasa anatafuta urais Makanisani Jambo ambalo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Joseph K.N. Tarimo mtoto wa mwisho wa mzee K.N. Tarimo (mwanzilishi wa Kibo Breweries Ltd) amefariki leo asubuhi jijini Nairobi alipopelekwa kwa ajili ya matibabu. R.I.P Joseph
0 Reactions
33 Replies
7K Views
The Zanzibar government is set to establish “one-stop centres” to offer services to victims of sexual and gender-based violence in all districts across the isles. “These centres will speed up...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wanajf kumbe sugu na dmx ni washkaji alijua anakuja bongo kuchana mic na wagumu wenzake kina sugu kumbe anakuja kujichanganya na wabana pua..habar nyepes nyepesi kaamua kuchomoa.kwenye show leo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naguswa sana na jambo hili kuwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda anaihangaikia Mikoa anayotoka Rukwa na Katavi tu hizi ni sera za Ukabila naU majimbo! Kwanza amehangaikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku za karibuni nimekuwa nikipita barabara inayounganisha barabara ya Kawawa na bararabara ya Shekilango maarufu kama barabara ya Tandale. Hii barabara imeanza kuharibika kwa kasi sana,ina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Hugo Chaves wa Venezuela ameyashitua mataifa ya magharibi hasa nchi za Ulaya kwa kutangaza kuwa anaanza mpango wa kukusanya dhahabu yote ya nchi yake iliyokuwa inahifadhiwa katika mabenki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom