Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau naomba mwenye hyo namba anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninasema hivyo coz kila mwanamke anataka mtu mwenye pesa au mwenye maisha mazuri!Nina 23yrs lakini sijawahi kukutana na mwanamke aliyenipenda jinsi nilivyo kila mmoja anacheka nami akiwa na shida...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapa niko jirani na kituo cha trafic naendelea na shughuli zangu na trafic kama kawaida wanaendelea na kazi yao ya kukusanya hongo. Kila gari linalopita linasimama konda au tingo anatoa kitu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
acha kudharau shule bana,nimeamini kupass sio lazima uwe ktk shule yenye majengo mazuuuuuuuuuuuuri,ona hii shule ndio iliyonitoa tongotongo mpaka sasa nipo mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaari sana,tena hili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwenye baraza la umoja wa mataifa tuna kuwa kuna katibu mkuu wa umoja huo. Je mwenyekiti wa umoja wa mataifa ni nani. Kama huyo ni katibu ina maana kuna mwenyekiti wake.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
26/11/2011 * Bodi ya wakurugenzi ya*Miss*Tourism*Tanzania*Organisation, wenye dhima ya kikomo ya kuandaa mashindano ya*Miss*Utalii Tanzania, imewafutia leseni waandaaji wa*Miss*Utalii Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanafunzi mwaka wa pili chuo cha sanaa na sayansi ya jamii amefariki baada ya kupigwa na radi eneo la chuo!..R.I.P brother
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hbr nilitonywa ndani ya kambi ya (C.T.U) zamani na leo inatambulika ni T M A, Tanzania Miltary Academy inasema Amri Jeshi Mkuu kesho atakuwepo pale kambini na atawatunuku NISHANI maafsa kadha wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
kwa kitenda cha kualika waandishi vibara ambao ata mpaka ya taaluma yao hawajui.kwny kipindi cha tuongee upande wa dar.mtu anatumia tv kutangaza gazeti lake.hivi huyo balile kilaza amesoma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heri dikteta aliyevaa ngozi ya chui kuliko yule aliyejivika ngozi ya kondoo. Adorf Hitler, Samwel Doe, Idd Amin, Mobutu Seseseko kuku wa Zabanga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi,yeyote mwenye taarifa rasmi au ya kiuchunguzi kuhusu ripoti ya tume iliyoundwa kuhusiana na kadhia ya mv spice atujuze tafadhali!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
EL kaamua kuchukua maamuzi magumu kwa kuuanika ukweli wa mambo hadharani. Hata hivyo naona kama kachelewa sana kuonyesha juhudi zake za kujisafisha. Hata hivyo kwa kuonyesha kuwa gamba lake halina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hebu oneni wenye wamarekani wanavyomthamini Mungu tofauti na mijitu ya magamba ya Tanzania. Chekishia mwenyewe hapo: Obama Leaves God out of Thanksgiving Speech, Riles Critics - Yahoo! News
0 Reactions
0 Replies
972 Views
wanyama pori , misitu inao watetezi, lakini samaki Hakuna marufuku ya kuvua angalau Kwa mwaka ili waongezeke .je vizazi vijavyo vitakuta samaki kwenye maziwa ( lakes ) yetu au nayo yatakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEMALIZA SHULE KAMA MIEZI 3 IMEPITA NIKAWA NAFANYA KAZI KWENYE COMPANY FULANI KWA $ 2000 NIKIWA NAFANYA MCHAKATO WAKuRUDI BONGO MARA NIKAPATA ZALI NIKAFANYA INTERVIEW KWENYE COMPANY NYINGINE...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimesahau. Naomba mnikumbushe jina la waziri mkuu wa sasa TZ ni nani? Jina limenitoka kidogo wadau. Anayejua anijuze haraka kuna swali natakiwa kujibu mara moja.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya. Kwa mujibu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mapadri wanne raia wa Italia wa kanisa katoliki,wamefariki dunia ,baada ya gari walilokuwawakisafiria kupata ajali. Ajali hiyo ilitokea jana saaa 5v asubuhi katika eneo la Ruvu kwa zola...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk. Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio. Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe...
1 Reactions
107 Replies
7K Views
Tupia jicho EATV saa 4 -6 ucku huu uwaone Sugu na Vinega wanavyoscan virus wa music
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom