Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wigi analovaa huyu mama. kwa muda wote akiwa bungeni, nje ya nchi hata na wageni wake amekuwa akivaa wigi la aina moja tu ambalo kwanza halimpenezi bora hata...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Tarehe 26/11/2011 ,Jeshi la polis Limeruhusu Maandamano ya Kuchangia Mradi wa Kutoa sumu na Chuo Cha Maadili Unao Ongozwa na askofu Gammanywa wa Wapo Radio uliopo Mtaa wa Loliondo...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Hii badge ni muhimu sana kwani nina uhakika imevaliwa na watu wengi muhimu sana. Je wewe ni mmoja wapo? hebu tujikumbushe enzi hizo, nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nimesikia hapa Dar kuna matatizo sana yanakuwa makubwa, kuna watu ukienda kunywa vinywaji hasa hii ilitokea Quality Centre ni kwamba unawekewa sumu katika kinywaji namba moja mume makini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu nianze kwa kusema mi sina undugu na Lowasa wala sifahamiani naye zaidi ya kumwona kwenye vyombo vya habari lakini nimekuwa na IMANI naye kubwa tangu zamani na nimekuwa nikiwaeleza...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Church official supports school segregation Published: 25 Nov 2011 02:29 GMT+1 A former Christian...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Wanabodi Nawataadhalisha wanajamvi kuna ndugu yangu amapatwa na tatizo baada ya kununua maji ya barabarani ( Uhai) mtaa ya magomeni akiwa anaenda mwenge, alinunua chupa moja ya maji kutoka kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
My take. English should be official language, simply First Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality) Second Its lovely...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Iliwahi kuja hoja za watoto wa vigogo kupafanya BOT kama mahali pao......i come across this name from BOT Pamela Benno.....huyu mama ana uhusiano na gavana Benno ndullu? kama ni kweli basi hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nape tuna hamu ya kujua kama haya yametekelezwa siku 120 ndo zimekisha Najua bado uko dodoma kwa leo lakini utabata muda wa kutupa taarifa ya kina kwa haya uliyoyasema mwenyewe Nimeamua kuja...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa kuangalia waliokuwa hawa kuwa viongozi wazalendo tz,je kuwa mzalendo kuna faida yoyote?serikali ya ccm inathamin wazalendo!? 1.Imran kombe 2.sokoine 3.mwakyembe 4.karume 5.H.Kolimba na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA PICHA ALIYOIWEKA KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK NAPE NAUYE AITA CHADEMA JINA LA CHANDIMU NA HII NI KAMA MAELEZO YA PICHA YANAVYOSEMA Nape Nnauye Waheshimiwa sana wabunge wa Chandimu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
MAITI YAFUFUKA IKIWA MOCHWARI YARUDISHWA KWA MADAKTARI Mauaza uza yaibuka mjini Iringa baada ya mgonjwa ambaye alifika kufanyiwa maombi kwa mmoja kati ya wahubiri maarufu mkoani Iringa kukata...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938 Habari ndio hiyo. Huu ujumbe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
nyumbani ni nyumbani.... Mdharau kwao hana asili................ Dah... Watanzania wenzangu? Tunayoendekeza ni kinyume na uzalendo! Kiongozi akifuata sheria........ Mnonko huyo/ mlokole huyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali tukijua kabisa mchawi ni nani hata tusiokua magamba wala vibaraka wao, JK, EL, na Nape wanataka mpaka watanzania wachoke na watoke mitaani kuwawinda? Hebu tazama mchezo wa kinafiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kawaida natumia email addres mbili. Moja gmail, nyingine ni ymail. Gmail naitumia kila siku lakini ymail naifungua japo mara mbili kwa wiki. Siku chache zilizopita nilikuta barua katika ymail...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, mkazo ukiwa katika unyanyasaji wa wanawake majumbani. Inakadiriwa kuwa kila siku zaidi ya wanawake milioni 8 wanakumbwa na tatizo hili kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania husasani wapinzani na baadhi ya wana CCM(baadhi) waliojimbambanua kupinga ufisadi wa kufikirika hawana la kusema na hasa baada ya kikao cha CCM cha jana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau foleni inatuumiza tunaenda mikoani lakini mpk ss gari haziendi foleni ni kubwa sana kuna mabasi,malori,gari binafsi hali ni mbaya plz usalama bara barani mtusaidie!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom