Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania Toleo No. 4689 la tarehe 15 Machi 2009 chini ya kichwa cha habari "Dk. Mwakyembe...
Residents of Oremeji in Aradagun near Badagry, Lagos, were on Sunday thrown into shock when a man presumed dead suddenly resurrected after three days in the mortuary.
The man, simply...
kAMATI KUU YA CCM Imemshahuri Rais kukutana na vyama vyote vyenye uwakilishi Bungeni badala ya CDM kama walivyokuwa wamenuia! najiuliza mengi, hivi na hawa CUF na TLP nao wana hoja ya mapungufu...
Chini ya uongozi wa mkuu wa mkoa mpya Mwambungu kikao kinaendelea. Injinia Lamo anahoja sana ndani ya hiki kikao. Ana mtazamo wa kimaendeleo sana na mh. John Komba pia yupo na amesoma memo toka...
Inasikitisha kuona watanzania wakipinga haki za binadamu wenzao kuishi na kuwa na natural right ya kufurahi na kuhusiana na jamii nzima
Sio kweli kwamba mashoga wote wamejitakia kuna baadhi...
Wana JF naomba mnijuze mi sijasikia tamko lolote la kuahirisha maandamano ya jmosi kutoka Jukwaa letu la katiba,
Au tufate kauli ya jeshi la Polisi?
Naomba kuwakilisha
nimekuwa nikisoma gazeti hili mara kwa mara,ingawa muda mwingine limekuwa likilalia upand e mmoja katika utoaje wake wa habari kiasi cha kuwapa usumbufu waandishi wake kutoka kwa wale wanaoguswa...
Jamani nahitaji kujua ni moderm gani ni nzuri,fast na ambayo pia ni cheap.nahitaji kujua kabla ya kununua na sina utaalam nazo.so tafadhali mnaojua pls msaada.
Naomba kuhuliza mahali ilipo kampun ya ujenzi inaitwa Pregressive iliwahi kutangaza nafasi za kazi miezi ya karibuni, mfano kama nikiwa natoka buguruni nipande gari za wapi na nielekee upande gani
TBC-1 leo wametudhihirishiwa wazi kuwa wanafanya kazi kwa maagizo maalumu ya Serikali. Kuna habari toka Dodoma walikuwa wanairusha katika taarifa ya habari ya usiku huu wa saa mbili. Mhe. Waziri...
Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali...
Joseph Mbilinyi anasema hata wale wasanii waliosaliti dk za mwisho kwenda kwenye show ya tarehe 26,hatowalaumu kwani tatizo ni njaa,anaamini harakat za ukomboz si rahisi
LONDON (Reuters) - Sub-Saharan African countries that invest in training doctors have ended up losing $2 billion as the expert clinicians leave home to find work in more prosperous developed...
Nimepita kwenye wall ya zitto amesema kuwa CHADEMA Ndo walioomba wakutane na mkuu wa nchi kama kuna vyama vingne navyo viombe kujadili mustakabali wa katiba,na si ccm kuwasemea hao wengine
Mwalimu Mkuu akitoka kwenye ofisi yake
Shule ya Msingi Kitete iliyopo katika kata ya Uchindile, Tarafa ya Mlimba wilayani Kilorombero mkoani Morogoro yenye walimu wawili tu na wanafunzi 29...
The revival of airtanzania ,the country's national carrier is doomed even before the plan is excuted
.the plan is doomed simply because somewhr those tasked with the responsibility to revive the...
Wale wadudu jamii ya panzi SENENE wleo wamefurika mjini BK leo
kama una jamaa yako hapa mwambie akutunzie.Wapo wengi sana,mfuko mweupe sh 100,000 tu
Endelea kutazama TV za tanzania utajionea...
Nini kifanyike kupunguza ajari za barabarani zinazosababishwa na mwendo kasi? Jamii yetu sasa imekuwa ikishuhudia ajari ambazo zinasababisha vifo visiyo rasimi na kuwaacha maelefu wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.