Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika siku za karibuni niliwahi kuandika juu ya wanasiasa ambao wanatumia wanataaluma wa habari katika kujisafisha na kujipigia debe kwa kuwanunua kwa kiasi kichache cha pesa waandishi na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wachezaji wa timu ya taifa stars, wamemtaka waziri mkuu Mizengo Pinda kutimiza ahadi yake ya kuwapatia Sh 10milioni aliyoahidi endapo wangeitoa Chad na kupata tiketi ya makundi ya kombe la dunia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nilicheka pale nnape nauye aliposema jamani atuko kufukuzana na mbaya zaidi akaenda mbali ati kuvuana magamba sio kufukuzana bali wahusika kurekebisha maisha yao na jinsi walivyo naona hapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kupatiwa wastani wa bei za Hotel nafuu Dar. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naombeni msaada wadau. Ninasafiri kwenda dodoma nimepanda gari ya Najmunisa inayoelekea Mwanza. Kwa kweli dereva anaendesha basi vibaya. Tumejaribu kumkemea lakini hasikii. Naombeni namba ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
eti walikuja tanzania kuwekeza kwenye reli mhhhh
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make...
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Wajameni, Kwa hali tunayoendelea nayo kwa sasa katika nchi yetu inaonekana kuwa Tanzania ina maadui wakubwa wawili wanaodumaza DEMOKRASIA NA KUVIZA UCHUMI NA USTAWI WA TAIFA LETU. Si wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu anaenda Mwanza kanipigia wametelekezwa kwenye basi hilo liloharibika huko nje ya mji wa Singida. Kondakta na dereva wamekimbia singida mjini. Wamejaribu kuomba msaada polisi bila...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani wanajamvi, habari zenu. Katika hali ya kusikitisha, kuna mtu mmoja hapa Iringa amenusurika kuvunjwa miguu yote miwili na askari waliokuwa wanalinda benki ya NBC jana tarehe 23 November 2011...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hata hivyo mchukueni mkamsulubu kama nyie mwaona mtakuwa mmetimiza yanayopasa.mie sio mwanachama wa chama chochote na sidhani kama naweza kula rushwa kutoka kwa yeyote. Ila kama baba wa taifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu Waheshimiwa, Nawapa pole kwa majukumu hasa vikao vya Bunge vinavyoendelea hapo Dodoma. Nimeandika HATARI kwa sababu ni mambo ya muhimu sana nataka kuwaambieni kupitia jukwaa hili:- 1...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mnaofahamu au pengine mna exposure katika nchi za wenzetu, hivi tunaposema Hotel hii ni ya nyota 5 maana yake ni nini? Mfano nikijenga Hotel yangu sehemu nzuri tu tuseme kwenye prime area...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
km mtanzania wa kawaida ambaye nilipata fursa ya elimu nina uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na hasa vikwazo vilivyo mbele yangu, CHADEMA km chama kw ufahamu wangu mdogo ina uwezo mara dufu lakini...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Kadiri vikao vya CCM vinavyozidi kuyoyoma, ndivyo wale waliokuwa na mtazamo hasi kuwa mh EL atavuliwa gamba sauti zao nazo zinaanza kufifia. Bila ya shaka nguvu ya upako inaanza kushika kasi...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Fikiria ndio asubuhi hiyo umeaka ndio kwako hapo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hebu kusanya salary slip zako zote za mwaka huu na ujumlishe NET pay yako halafu jiulize upo katika kundi gani kati ya hawa.... 1. Watumiaji wa hela vibaya kwa vile tu hakuna wa kukuuliza..... AU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika maisha yako kuna matukio au hali ya maisha mbaya ambayo umewahi kukutana nayo wewe binafsi au kushuhudia kwa jirani, ndugu au nchi yako. Kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa, Je, ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri mkuu mstaafu, john samwel malecela amefiwa na mjukuu wake mary. more updates to follow! sosi: matangazo ya vifo, redio wani stirio
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Jana kulikuwa na post hapa, iliyotutaarifu kuwa EA minister, Samwel Sitta anaumwa. Je kuna yeyote anayeweza kutu-update hali ya afya yake?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom