Ndugu zanguni karibuni kipindi chetu cha jahazi kwanza ya yotesitotenda haki kwa kuwapa aslahaaaaam allheikhum wafuataokwanza nampa aslaaaaaham alleikhum aliekuwa ceo wa actl bW david mattaka...
WAJINGA WALIWAO PALE NAO TAKUKURU WANATAKA KAMGAO CHAO WAKIRIDHISHWA NAWAAMBIA
MTAISHIA KUSIKIA USHAHIDI UMEKOSEKANA..LAKINI UKWELI NI HUU HAPA
YAMEAGIZWA MAGARI 26 kwa thamani ya sh MILLION...
Naona kuna haja ya vyama vya siasa hasa chadema na nccr wakae pamoja na kuona swala la KATIBA simchezo.
Ni la nchi nzima na ni kwa manufaa nchi. Maandamano na uvunjivu wa AMANI hayana nafasi...
Wana Jamvi habarini.
Leo nimerudi na taarifa kamili baada ya kutoa angalizo, ambao wale wanaoshabikia CDM kwa uanfiki waliwaka sana kwa kuwa niliwataja madiwani na wabunge wa CDM hapa mkoani...
Wadau hebu someni haya maneno kutoka kwenye makala ya msomaji raia ndio mtapata jibu kwamba hata wenzie wanamchukiliaje presidaa wetu!!
Kutokana na hotuba hiyo ya Kikwete nilimsikia Rais mstaafu...
KUTOKANA NA JESHI LETU LA POLICE KUKIRI KUWEPO KWA AL-SHABAAB NCHINI NATOA RAI KWA WATANZANIA KUTOKUKUSANYIKA KATIKA SHEREHE HIZO TAR 9 DEC 2011,USHAHIDI WA HILI NI PAMOJA NA KUZUIWA KWA TAASISI...
Nimekua nikisiliza baadhi ya wanasiasa na wanaandishi wa habari wakipotosha umma na kuzusha taharuki kinyume na hali halisi ili kukidhi matakwa na haja zao, ieleweke kwamba, mambo yote...
Kwa mashabaki wa soka wanajua vizuri adha wanayoipata katika mioyo yao wakati wa kusubiri dk 90 Za mpambano wa watani wa Jadi Yanga na Simba. Hali hiyo ipo sasa kwa mashabiki wa siasa hasa wale wa...
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la ndege Tanzania (ATCL) Davidi Mataka amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Tuhuma hizo pia...
Samahani wanaJF, mimi huwa natatizwa na neno Contractor! Ninavyoelewa mimi ni kwamba, Contractor ni mtu aliyeingia mkataba(contract) na mtu mwingine ama taasisi ama kampuni kufanya kazi fulani...
Serikali na wizi huu hapaaaaaana!!!!
Ktk hali isiyo ya kawaida jana nilifanikiwa kuona salary slip ya mwezi uliopita ya rafiki yangu akiwa analalamikia makato yaliyofanywa bila yeye kujua ni ya...
Nimekitumikia chama changu kwa uaminifu mkubwa sana kwa miaka mingi sasa. Watu wenye wivu na maendeleo yangu wametumia kila mbinu kunichafua mbele ya watanzania. Lakini kwa nguvu za mungu hawata...
:lol::lol::lol::lol:Nipo hapa Dodoma, napishana na magari ya kifahari kweli kweli, naona wana CCM wamo kwenye magari yenye viyoyozi, ya bei kubwa, class ya juu! Sasa kama nchi ni masikini, kwanini...
2858 walitoa 'tishio' tuite tamko lao kupitia mitandao ya kijamii, sasa hivi serikali inawatafuta kwa hali na mali, usiku na mchana.
Sitta kaungelea kuhusu Mwakyembe kupewa sumu, kaombwa ushahidi...
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?
we acha tupunguze hasira za akina jairo kujilipa allowance za kufa mtu, tugeukie kwenye orodha ya matajiri vinara 40 kutoka Afrika waliotajwa na jarida la Forbes siku nne zilizopita. Jamaa kutoka...
Gari namba T607BCY lenye shehena ya sukari limekamatwa wilayani serengeti mkoani Mara ktk mji wa mugumu likiwa njiani likielekea nchi jiarani ya Kenya.Chini ya ulinzi wa polisi sukari hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.