Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wadau naomba kujua ni matokeo gani au athari zipi zinaweza kutokea pale raisi atakapokataa kutia sahii kwenye mswada wa marekebisho ya katiba mpya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saif al Islam,mtoto wa Gaddafi,aliyekamatwa wiki ilopita alisalitiwa na mchungaji wa wanyama katika jangwa la Sahara ambako Saif alipanga kutorokea kwenda nchi jirani ya Niger ambako kakake ndiko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Nipo ktk msafara wa bwana Zito tayari kuungana na wagonjwa wenzake pale India, nitawajuza juu ya hali ya Kamanda Mwakyembe! Naomba sana: Usinihoji chochote juu ya Zito au Mwakyembe...
9 Reactions
93 Replies
10K Views
Zipo eneo la Kiseke Mwanza,uzinduzi wake ulifanywa na Rais Kikwete na katika matamshi yake alisema: nyumba hizi wakopeshwe watu wa kipato cha chini ambao kwa mishahara yao wasingeweza kujenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Kumsaliti YESU Masia kwa Vipande 30 vya fedha, Yuda Iskariote aliumia sana moyoni akafikiri ametenda dhambi kuu, akafikia uamuzi wa kurejesha vile vipande vya fedha kwa wakuu wa makuhani...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Senior officers wa ATCL na waliostaafu i.e Mattaka and aliyekuwa ana kaimu Williamu Haji wamefikishwa mahakama ya kisutu na Takukuru wakikabiliwa na tuhuma za kutumia madaraka vibaya. Source: Myself
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mtoto wa rais bwana riz ameundiwa zengwe na baadhi ya wenzie ndani ya uvccm nimpeta tetesi kuwa walio ndani ya mpango huo ni bwana bashe,fred,malisa na wengineo source TANURU LA FIKRA
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Monday, 21 November 2011 20:08 By The Citizen Reporter and Agencies Dar es Salaam. Peak Resources plans to raise A$3.2 million to fund the fully acquisition of the Ngualla Rare Earth Project...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
WAISLAMU nchini wametakiwa kujitokeza na kuunga mkono uchangiaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo hususan elimu, ili kujikwamua na lindi la umaskini. Wito huo ulitolewa juzi na Mbunge wa...
0 Reactions
7 Replies
974 Views
Moses Mashalla, Arusha ASKOFU Mkuu wa Kanisa la International Evangalism (IEC), Eliud Isangya anadaiwa kushikiliwa na kisha kupekuliwa kwa saa kadhaa muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Namba hiyo imenitumia ujumbe(text message) hii:- Your Mobile no.has won you £750,000 pound in Nokia UK PROMO. For claims send your name,address,mobile no. and occupation to Email:-...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Magari yote yanaoyokwenda mikoa ya kaskazini na mikoa mingine yamekawama wami baada ya gari moja kugonga mtoto na wanakijiji wamevamia barabara na kuiziba wakidemand kuwekewa matuta- hadi sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natamani kwenda Movenpick kuwaeleza Watawala Tanzania ninayoitaka. Tanzania ninayoitaka ni ile ambayo watoto wake wanasoma kwenye madarasa na pia wanakaa kwenye madawati. Tanzania ninayoitaka ni...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna ndg yangu anasafiri kuja Dodoma,amenijulisha kua kuna ajali mbaya imetokea scania mbili zimegongana.Nasikia gari ya pick up ya wazungu imejibamiza ikiwa haijatii amri ya kusimama na kwenda...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni jambo la ajabu na Hatari kwa Jamii ya Watanzania pale ambapo Serikali haijawahi kuwakamata Mashoga pamoja na kujitangaza kuwa ni Mashoga lakini kuna Nguvu kubwa ya Jeshi la polisi...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Mchekeshaji marufu wa vichekesho nchini wa kundi la zecomedy ambaye anasumbuliwa na ugonjwa unaodaiwa kushambulia sehemu za kichwa.unaomtesa mpaka sasa baada ya kuka chumba cha ICU takribani...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Kijana mmoja huko mkoan singda amekamatwa akiuza supu ya nyama ya mbwa kwenye klabu m0ja ya pombe za kienyeji,kijana huyo aliwazuga wateja wake kuwa ni supu ya mbuz,ila badae walimshtukia...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Tuesday, November 22, 2011 WANANCHI WAMKATAA DC WA JK, NI KUHUSU UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA NA NHC MBEYA KATIKATI NI MKUU WA WILAYA YA MBEYA EVANCE BALAMA AKIWA NA MKURUGENZI WA...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwenye magazeti ya Ijumaa iliyopita, mojawapo limeandika habari za kufungwa jela miaka miwili jamaa mmoja huko Zanzibar (somebody Athumani) kwa kosa la kuiba nazi 10 ktk shamba la makamu wa rais...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom