Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimestilka kuona gzt JamboLeo la Leo linalomilikiwa na Familia ya Rais Jakaya Kikwete linapinga Ripoti ya kamati Teule ya kumuchunguza Jairo, Luhanjo na CAG
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana jioni Baada ya Kazi nilienda Kumtembelea Snangazi yangu ambaye anafanya Kazi TRA kitengo cha Human resource. Tulijadiliana mambo mengi sana yakiwemo ya Maeneo tunayofanyia Kazi. Alinipa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
naomba maoni yenu!!! kuna kampuni maarufu kwa uzalishaji wa vyandarua mkoni arusha, kampuni hiyo inawalipisha nyumba za kuishi wafanyakazi wake kwa gharama ambayo haifai hata kidogo.gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha waigizaji Tanzania kimeandaa utaratibu mpya kwa waigizaji wote nchini. Chama hicho kimeandaa utaratibu kwa kila muigizaji kuwa na kitambulisho cha uigizaji ambacho kinatambulisha kazi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Why Smart People Make Lousy Teams By Kimberly Weisul MoneyWatch) It happens all too often: Put a bunch of really smart people in a room, tell them to solve a problem, and watch as they...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Serikali ilihusika kusababisha ajali ya basi la TAQWA na lori la AZAM Namsikitikia sana dereva wa lori la Azam na msaidizi wake walivyopotezewa maisha yao kwa uzembe wa dereva wa Taqwa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF? Sina hakika Kama ni matawi yote ya NBC au ni hapa tu. Nashangaa kuona watu wamekaa chini sakafuni wazee na akina mama kusubiri foleni iende, inamaana wameshindwa kununua hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi magari yalio andikwa STAFF BUS kwa ajiri ya wafanyakazi yanalipiwa kodii !!! au hapana !!!, je kwanini wafanyakazi wanatozwa NAULI .:car:
0 Reactions
0 Replies
739 Views
WanaJF, Abarikiwe yeyote mwenye nia au uwezo wa kuchangia kwa hali/mali/mawazo katika mambo ya msingi yenye maslahi kwa umma wa Tanzania - awe raia au mgeni, mfadhili wa nje au wa ndani, maskini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sipendi kwanini mnatuma jumbe zenu za matangazo kwenye simu yangu? This is nonsense of first class leo nimeishapokea SMS 4 zenye Jumbe za kukera. Nadhani wanakata hela pia, mambo ya aibu haya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata hbr ya kuaminika ya ajali ya TAQWA BUS SERVICE kupata ajali mbaya jana 19/11/2011 ya kugongana uso kwa uso na gari la Bahresa aina ya Volvo New model maeneo ya boda ya Runzewe na hii boda...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Lori la Mkaa Usiku wa saa nane liligonga daraja na kuzuia magari yanayopita daraja hilo kukwama tokea iyo usiku muda huu.Source Clouds'BONGE
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kata ya sinza leo mabango ya kutangaza maeneo ya wazi yamewekwa barabara ya lion sinza kwa mjibu wa diwani wa sinza renatus pamba CDM amesema kuwa wataweka mabango maeneo yawazi yaliyovamiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ZITTO KABWE AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Mh. Zitto Kabwe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Mh. Zitto Kabwe, aliyekuwa amelazwa hospitali nchini...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
leo epic nation ilikuwa mjini mtwara ambapo wamehudhulia wananchi kupita kawaida kuliko hata raisi akija watu huwa hawajai kwa kiasi nilichoshuhudia leo na nia yao kubwa me sijaiona zaidi ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Kwanini hawa 88.4 huwa wanachakachua wimbo endapo ikiwa imemshirikisha msanii ambae mwenye beef nao? Je haki miliki ya mwenye wimbo ataidai wapi? Je kosota hawalifahamu hilo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzanian hip hop artists are riding a wave of popularity while drawing attention to politics and HIV/AIDS. ARTICLE | 21 NOVEMBER 2011 - 11:57AM | BY CRAIG HALLIDAY Trendsetters: Afrika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tanzania ni nzuri sana: Umeme upo lakini hauwashwi, Mafuta yapo lakini hayauzwi, Mafisadi wapo lakini hawafungwi, Rais mzembe lakini hajiuzulu, Mahakama inauzwa ili kujenga Hotel, Mhindi anatoa...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Extra Terrestrials Visitors From Venus .. Valiant Thor The Human Alien From Venus, Washington D.C. V.I.P. During Late 50's The Valiant Thor Landing 002741-57 Room 4D-717...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom