Nimechoka na Mikwara Mbuzi ya wanaharakati,kuanzia leo sitaki kusikia wala kusikiliza habari za wanharakati wa Bongo kwakitendo chao cha kufyata mkiaa
Wamenimalizia Luku yangu ya bure kwa...
kuna habari kuwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA itazuia haya madishi yasifanye kazi ifikapo Dec 2012 na badala yake inawataka watu watumie ving'amuzi
Naomba mwenye taarifa sahihi atujuze...
Tanzania ina rasilimali lukuki ingawa bado tu masikini wakutupwa, tunabembelezwa kwa kuambiwa uchumi wetu unakua kwa kasi ingawa faida haionekani kwa sisi Watanzania wa kipato cha chini tulio...
Nilikuwa sijaiona hii kama ilishaletwa naombeni radhi kwa usumbufu!
kilichotokea hapa chini kwa kweli kimenikera mpaka nilijikuta kwa muda
nikiwachukia waandishi wa habari wa kike. Ilikuwa kwa...
Chuo cha mipango dodoma leo kinafanya convocation kwa kuhusisha wataalamu wa mipango kujadili mchango wao katika miaka 50 ya uhuru na mwelekeo wa miaka 50 mbele huku wakizingatia nafasi ya...
Wito wangu kwa hawa FFU, wakati wewe unampiga mtoto wa mwenzio hapa Mlimani, askari mwenzako pia anampiga mdogo wako wa Dodoma. Tuwe na ubinadamu jamani, kwani ninyi ni raia wenzetu na tunaishi na...
Ingawa kuwatimua uanachama magamba Andrew Chenge na Edward Lowassa haitarejesha pesa yetu. Ikifanyika itakuwa angalau ni kuanza kuvurugana kwa wezi kiasi cha kuanza kuelekezeana mitutu na...
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua
kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make...
Maoni ya katuni
Serikali ilipata kuanzisha mpango wa kurekebisha mfumo wa malipo kwa watumishi wake na mojawapo ya taratibu zilizoanza kutumika ni ule wa kila posho iliyokuwa ikilipwa kukatwa...
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)nchini, Tim Clarke
Umoja wa Ulaya (EU) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha, umezindua mchakato kwa Taasisi na Asasi zisizo za Kiserikali kutuma maombi ya mchanganuo...
Dar tightens security amid growing Al-Shabaab threat
By Correspondent
2nd January 2011
Email
Print
Comments
Tanzania has deployed more security personnel equipped with...
Wadau pole na kazi,
naomba kufahamu kuhusu ili.
kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu...
AJALI NELSON-MANDELA RD ilivyoripotiwa na IPPMEDIA.COM
"The oil tanker lands onto the two saloon cars and kills two people on the spot on Mandela Expressway in Dar es Salaam this afternoon...
Suala la kuandamana nchi nzima Jumamosi hii litakuwa na tija kama usalama wa watu na mali utazingatiwa. Hoja kama tuandamane au tusiandamane ni lazima kuwa makini, ili kufikia malengo...
Nape Nauye na CCM yake wanasema wamemshauri JK akutane na vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni.... je watawaomba vyama hivyo waandike barua ya kuomba vyama hivyo vikutane na JK au watafanyaje? Je...
Wantanzania 29 wakwama Saudi Arabia Kuna watanzania 29 ambao wamekwama baada ya kuachwa na ndege kwa uzembe wa Kiongozi wa msafara wao. Leo hii ninavyoandika habari hii, imekuwa ni siku ya Tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.