Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimefuatilia makoa mkuu ya CUF nikagundua kuwa hali ni tete kwani kuna makundi Moja ni la Hamadi Rashid na Jingine ni la Maalim Seif Na kwamba makosa aliyofanya Seifu yamewagusa wengi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu aliyepima mwenyewe akafadhaika akaona kuwa inafaa aachie ngazi, atakuwa tena Mgeni Rasmi katika harambee ya kuchangia kumalizia Ujenzi wa Kanisa la Usharika wa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Jana sikupata kuona taarifa ya habari saa mbili. Ila nimepewa taarifa kwamba miongoni mwa habari zilizoonyeshwa, moja ilihusu ubakaji uliotaka kufanyika au uliofanyika kwenye daladala ya Makongo...
0 Reactions
77 Replies
17K Views
Jana nimeshuhudia kipindi kimoja cha TBCone.Mwandishi wa TBC alikuwa akipita mtaani akiwauliza watu kuhusu mafanikio baada ya miaka 50 ya uhuru.Cha ajabu alikuwa anawahoji vijana wengine wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona wako hapa Mh. Tundu Lissu, Mh. Kombani na ndugu mwingine. mwendesha mada ni Angelo Mwoleka. Anaongea sasa waziri wa sheria
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipindi kimejaa makada wa CCM tu. Wanajaribu ku-justify dhana nzima ya kushindwa kujivua gamba. Ni aibu kuu kwa Yahya na star tv
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALI ya Uingereza imetoa shilling Bilion. 25 kuisaidia Tanzania kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kuanza Agosti 26 mwakani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nisaidieni mawazo huku mikocheni a jana kulikuwa na umeme wa mafungu.baadhi tulilala gizani .leo tukatoa taarifa wakasema watafanyia kazi,saa |2 ukawaka kwa dk |5 ndio mpaka nimapotuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sina uhakika kama ndugu yangu mkwere atamaliza miaka 5 kama rais wa TZ. Ukiachana na ahadi zake za trillion kadhaa,hereunder are the suprises: 1.katiba 2.Dowans 3.umeme bei juu 4.gas bei...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
25 November 2011 Last updated at 18:17 ET US Black Friday marred by shootings, pepper-sprayings Many shoppers were looking for bargains in what are tough economic times In pictures: Black...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Kwa waliofuatilia Taafifa ya habari ktk television yaTBC1 ni dhahiri kabisa tumeona kuwa kuna Kijana anaitwa Petro a.k.a.Mzimu ambaye ni mkazi wa Kigoma,ambaye amekamatwa na mtambo wa kutengeneza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutoka Blogu ya Kigwangalah (MB), Nzega: Dr. Hamisi Kigwangalla's Round Table: Mapinduzi ya Kijani (Pamba) Yamefanikiwa Nzega! Wiki iliyopita Hussein Bashe, hasimu na mshindani mkubwa wa Mbunge...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
OFISI ya Bunge imesema kuna uwezekano wa kubadilishwa au kufutwa kabisa kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, endapo itaonekana kuna sababu za msingi.Hayo yamebainishwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Thursday, November 24, 2011 3:37 AM Hali ngumu ya maisha nchini Ugiriki imepelekea idadi ya waathirika wa ukimwi nchini Ugiriki iongezeke kwa kasi kutokana na baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu niko huku mail moja sisogei popote ,hamna matrafiki huko mbele wa kutusaidia, kama kuna mdau amebanwa na hii jam atujuze ili tutafute utaratibu mwingine ,toka saa 11 nipo on road !
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maiti iliyozinduka monchwari Iringa Saturday, November 26, 2011 5:40 PM Alitangazwa amefariki baada ya kuanguka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amenaswa kiongozi mmoja kijana wa ngazi za juu hazina akiongea kwa simu na mtu ambaye hakufahamika mara moja. "Kuna tatizo hapa, pesa hakuna. Hata mishahara ya mwezi huu ni kizunguzungu, Juhudi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1.Mtu anayeweza kuipeleka gerezani maisha familia nzima (Nguza & family) kwa kosa la kutunga tu!!huyu ni muuaji katili. 2.Mtu anaweza kuwazulia ubaya,kuwachafua na kuwadhalilisha wenzake ili yeye...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mke wake ndiye kinara wa kusafirisha mbao kutoka mikoa ya kusini. Pia ndiye anayeongoza kwa kuhodhi aridhi katika maeneo mbali mbali nchini. Mwanae Riz inasemekana anamiliki magari makubwa ya...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom