LEO HII TUMESOMA TAARIFA HII IFATAYO KUWA RAISI AMETIA SAINI SHERIA YA KATIBA, MASAA MACHACHE BAADA YA KUACHANA NA UJUMBE WA CHADEMA KAMA IFUATAVYO.......
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA...
Maandamano yasiyokuwa na ukomo na yasiyozingatia utawala wa sheria, vurugu na fujo zinazofanywa na vijana kwa kisingizo cha kutaka fursa sawa na uwajibikaji, hayawezi kujenga mazingira ya...
Wana JF,
Siyo kila saa kunzumngumiza CDM na CCM. Hebu chekini maafa ya mafuriko huko Karatu.
MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO KARATU MKOANI ARUSHA JANA - Global Publishers
Source...
While researching my new book, 'Explorers of the Nile', I discovered how my great-grandfather changed the history of East Africa.
Sultan Barghash (centre) and members of his court Photo: GETTY...
Serikali ya mkoa wa Dar umewanyima kibali Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa kile kilichoelezwa na mkuu wa mkoa huo Meck Sadik kuwa ni hofu dhidi ya Alshabaab.
Source; Mwananchi...
Sijui kama hili limeshawaingia kwenye milango yenu ya fahamu. Jina la kampuni yenu linatumika VIBAYA mno! Imekuwa ni kawaida watu kuzungumzia tigo kama njia ya haja kubwa. Neno tigo pia linatumika...
Wakuu.
Jumamosi nilitumiwa 150,000/- kwenye tigo pesa a/c yangu. Bahati mbaya siikumbuki password yangu kwani sijawahi itumia tangu niisajili. Hivyo ilinibidi nisubiri hadi jana j'tatu...
Wakati vyombo vyetu vya usalama wa raia na barabarani vikiwa bize na kuzuia maandamano kwa intalijensia ya alshabaab - watanzania 325 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani kwa mwezi oktoba...
RAIS Jakaya Kikwete amesema mpango wa Jitolee Tanzania unaowatuza Watanzania walioonesha moyo wa kujitolea katika jamii zao, ni ishara tosha kuwa Watanzania wanatambua
maana ya kuishi kama...
Juzi nimelalamika hapa kuhusu wakulima kukopwa mazao kwa lazima wakati
Fedha za kuwalipa zipo. Tushamueleza kuwa Mkuchika anayezuia watu kuuza
mazao yao cash wanashirikiana na kuna faida inaenda...
kuna jali imetokea kwenye daraja la mto kizinga barabara ya kwenda mbagala na kilwa. Ni kati ya isuzu journey(daladala) na pickup toyota. pickup ilikua inaingia barabara kubwa ndo ikagongwa na...
Nini cha kujivunia wanawake watanzania katika nyanja mbalimbali kwa maaana ya kisiasa , kiuchumi, kielimu, kiafya, kiutamaduni na fursa kwa jamii ndani ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania?
Monday, November 28, 2011, 6:34
Mtanzania-Habari
Atumia biblia kubeza wanaomchafua kisiasa
Asema Mungu yu pamoja naye, adai anapumua
Na Pendo Mangala,Singida
Alisena kutokana na kuwepo...
na Francis Godwin, Iringa
WAKATI zikiwa zimepita siku mbili tangu Jeshi la Polisi nchini kuzuia maandamano ya wanaharakati wanaopinga hatua ya serikali kutaka kuilipa kampuni ya kufua umeme ya...
Habari,
Nimepita na gari nikielekea mbezi nimeona umati wa watu na Landcruiser ya blue ya polisi,kwa information ni kwamba kuna mtu amefariki pale amekutwa kwenye majani
Nawasilisha
Kupitia stori na hata kushuhudia mwenyewe toka kwa watu wa karibu kweli na conclude wabongo walio wengi si waaminifu na wengi wanastahili kubakia na hali zao mbaya za kiuchumi
Stori iko hivi, kuna...
Heshima mbele wadau, naomba msaada wa kupata ramani za nyumba za kisasa zenye vymba vitatu au website ninayoweza kupata ramani za nyumba pamoja na picha zake. natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.