Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa walioona jinsi mwana wa malkia wa Uingereza, Charles alivyopokelewa ikulu watakubaliana nasi kuwa ukoloni bado upo. Hata hili la ushoga na rais Jakaya Kikwete kuamua kunyamaza si bure...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila...
3 Reactions
82 Replies
7K Views
Idadi kubwa ya polisi ambao jana walikua wamefurika katika viwanja vya mahakama waliomba viombo vya habari visaidie kuweka wazi mgogoro wa Arusha ili amani ipatikane. "Jamani tusaidieni leo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Nadhani tunapomuenzi Julius Nyerere basi kisiasa hatuwezi kupishana na hilo. Lakini tupomuenzi kwa fikra ndipo hapo tunapofanya makosa. Kwa sababu kama ni fikra basi sifa ye kuenziwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tue, Nov 8th, 2011 Tue, Nov 8th, 2011| Tanzania Prince Charles of Wales and his wife The Duchess of Cornwall Camilla Parker Bowles watched stamp book Prince Charles of Wales and his wife...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Mimi ni miongoni mwa watanzania ambao bado sijaridhishwa na ukarimu wa Wafanyakazi na hata viongozi wenziwe Zitto katika kumfariji na ugonjwa. Kiasili, tofauti za Watanzania hufungua mipaka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
By JULIUS BWAHAMA, 7th November 2011 @ 12:10, Total Comments: 0, Hits: 274 A UGANDAN national was on Monday arraigned before Kisutu Resident Magistrate's Court charged with defrauding a western...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MICHAEL JACKSON'S doctor killed the King of Pop, a jury ruled last night. Dr Conrad Murray was handcuffed and taken to jail to await sentence on November 29. The judge said he was a convicted...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ludovic achaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya fedha wa UN Chanzo cha habari ni radio free africa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
je tanzania tunakosea kutumia lugha ya english kama kigezo cha kuchagua miss tanzania? sababu warembo wengi english aipandi kichwan kwa wale waliosoma shule za sikinde,je tuache kutumia kigezo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipindi cha dakika 45 pale ITV ni kama jukwaa la kisiasa la wanasiasa kutangaza sera zao kwa sababu mtangazaji hana uelewa wa maswali anayouliza hivyo kuwaacha jamaa wanajimwaga tu na majibu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimejikuta nafikiria hatma ya nchi yetu pendwa Tanzania, haswa kutokana na yanayojiri ulimwenguni leo, sijiiti mtabiri lakini nikiwa mmoja ninae amini katika uhalisia, naamini nchi yetu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunajua kabisa kuwa sekta inayoongoza kwa kulipatia mapato taifa ni utalii. na utalii mwingi upo arusha...viongozi wetu kama wana akili timamu kwa nini wanausumbua huu mji unaowapa mapato makubwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Tulipokuwa sekondari tulikuwa tuna debate motion moja very common inasema "Money is a source of all evils. Agree or Disagree" tunargue weee kinadharia tuu lakini ilikuwa ni somo. Siku za hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shughuli na Mawasiliano kati ya Kigamboni na maeneo ya katikati ya jiji yalisimama leo hii na kusababisha usumbufu na misongano. Hali hii ilisababishwa na hatua ya mtoto wa malkia wa Uingereza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mtu mmoja asiyejulikana ameungua vibaya na kuwa mweusi kama mkaa alipokuwa akijaribu kuiba mafuta ya transfoma tanesco na polisi tayari wameshafika. picha baadae.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wananchi watanzania tumezoea kuhabarishwa kupitia hiki chombo cha UMMA hasa taarifa ya habari kila saa mbili jioni. Leo vipi mnatuonesha mafisadi na wezi wanavyo kula matunda ya uhuru wa nchi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wana-Arusha wenzangu, Usiku wa jana mitaa mingi ya jiji letu ilikuwa shwaari bila bughudha za vibaka. Watu walioanika nguo nje wamezikuta asubuhi. Kulikoni? Au ni kwa sababu ya ujio wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesitisha safari za mabasi 14 ya kampuni za Dar Express kutoa huduma kati ya Dar es Salaam- Arusha na Arusha-Tanga kuanzia...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Back
Top Bottom