Collapse of euro 'would leave Britain BETTER off but if it stays we will see 10 years of austerity'
Bailout contribution could rise to £40bn
Get tough on Europe IDS tells Cameron as Tories hold...
wale wasanii wa bongo flava na nyimbo yao ya Miaka 50 ya Uhuru wote wanafiki.
Taifa linakabiliwa majanga makubwa wao wanaimba pumba tu pale,na vibendela vyao.
Pu....fu..
chadema waliomba(jana) lema apewe mdhamana lakini logistics zimekataa mpaka baada ya siku 14.chadema waliomba kibali cha mkutano kwa siku ya leo.lakini cdm wamekiuka hilo na kuamua kukesha eneo la...
Tangu kuondolewa au kuangushwa kwa utawala wa Gadaf,shughul za uvuvi haram zimeonekana kushka kasi,ila inasemekana kuwa boti zinazofanya shughuli hizo zinatoka nchi za jumuiya ya Umoja wa nchi za...
EWURA mmetuhakikishia kuwa mnayo mafuta ya kutosha kumbe ni siasa tu, leo mji wa IrInga hakuna petrol kabisa tunataka majibu ya uhakika ni nini kimetokea hadi visima vyote havina Petrol wakati...
Kale kamchezo kakuhaki akaunti za watu kamemdondokea kwa mara nyingine kijana sharobaro wa magogoni ndugu Rweyemamu
Wenye urafiki nae kupitia twitter angalieni siri za chumbani magogoni zinavyo...
Jamaa mmoja mkazi wa jiji hili la mwanza anaesadikika na mgambo wa jiji nusura juzi wamtoe roho wakazi wa mtaa wa makoroboi baada ya mgambo huyo kuanza kukusanya bidhaa za wamachinga zilizokua...
Taarifa za awali zinaonyesha mamillion ya fedha za walipa kodi yameliwa katika ujenzi wa nyumba ya mkuu huyo.
Imethibitika katika budget ya serikali hiyo fedha haikuwepo ya kumjengea mkulu huyo...
VODACOM imetoa namba na ya bure kwa ajili ya kuupigia kura Mlima Kilimanjaro kuwa moja kati ya maajabu saba ya dunia, jinsi ya kupiga kura andika neno KILI au KILIMANJARO, kwenda namba 15771...
Hakuna kitu kinachokera kama kuona askari polisi wanaosimamia utekelezaji wa sheria wao wenywe ndio wa kwanza kuzivunja. Mara kadhaa nimekuwa nikiona askari polisi wakiendesha pikipiki bila helmet...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 3-day Intensive CISA Exam Boot Camp geared toward developing knowledge and practical skills to enable CISA candidates to pass CISA exam to...
TBC kuwa live kuonyesha jinsi kodi zetu zinavyoliwa ktk hafla ya mtoto wa malkia ni sawa? Tena juzi tu waziri mkuu wa alikotoka mtoto huyu walisema watasitisha misaada kama hatutaruhusu ushoga na...
Tbc muwe mnaacha ubaguzi wa kutuletea habari kibaguzi, kwanini hbr za wapigania uhuru wapya huwa hamziweki ktk hbr zenu, cpendi tabia yenu mbovu, hiyo channel ni ya taifa cyo ya chama chenu hicho...
Wana jamii forum habari za usubuhi,
Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc...
Kwa wale hawajafika uwanjani tuning radio sanraiz freq 94.8 baada ya mda kidogo tundu ataunguruma kutueleza yote yaliyo tokea nmc na mahakamani na juu ya wafungwa kugoma kushuka sheria inasemaje...
habari wakuu,
nafanya kazi chuo cha ualimu. hapa nna dip. ya education na digrii ya accounting and finance.......... nafanya kaxi za kufndisha tu.....
muhasibu wa hapa hana elimu kabsaaaaaa...
Unakuta mtu ana digrii ya uandishi lakini anaishia kuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto redioni. Hii ni tofauti na fani zetu za kiume ambapo hata mtu mwenye diploma ya medicine anakabidhiwa kituo...
Military action against Iran would be a "very serious mistake fraught with unpredictable consequences", Russia's foreign minister has warned.
?
Sergei Lavrov said diplomacy, not missile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.