Kwa ujumla hali ya maisha kwa Watanzania walio wengi inaendelea kuwa mbaya kadri miaka inavyokwenda licha ya maliasili zilizopo nchini.Mwaka huu tunasubiri kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa...
Nape na Sitta wamejijengea umaarufu miongoni mwa Watanzania kutokana na kupingana hadharani na mafisadi wakiwa ndani ya CCM.Je itakuwaje wakitoka/wakitolewa CCM? Nawasilisha kwa mjadala.
Hbr zenu wana jamii wote wa humu ndani, ebana nimekuwa nikitembelea migodi yote ya barrick ikiwemo north mara, (nyamongo) buzwagi, tulawara, pamoja na bulyanhulu, ktk migodi hii kwanza kuna...
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
Mimi...
Ndugu zangu naombeni kujuzwa watangazaji hawa wako wapi mbona siwasikii tena siku hizi, au labda wameahamia stations ambazo hazisikiki mikoani huku nilipo. Yaani, Ezekiel Molongo, Sued Mwinyi na...
Leo asubuhi nimeshuhudia kitenda kisicho cha kiungwana kabisa kilchofanywa na dereva wa gari aina ya Toyota Prado (old model mayai) Rangi dark blue au nyeusi , yenye maadishi PRADO ubavuni.
Gari...
Habari zenye uhakika zinasema prince charles anatarajiwa kudhuru tanzania na katika moja ya msafara wake
watakuwamo mashoga marufu huko uk wakisisitiza kudai haki zao baran africa..
Kama hili...
Bila shaka sote tuna mambo ambayo ni kumbukumbu katika maisha yetu iwe ni mkasa wa kufurahisha u kuhuzunisha au ubaya au wema uliotendewa na mtu. je wewe ni mjkasa gani, kisa kilichokupata ambacho...
Ajali za barabarani hasa mabasi ya kwenda mikoani zimekithiri mno. chanzo nini? nani wa kulaumiwa, madereva, wamiliki au kikosi cha usalama bararani. kutokuwa sheria kali kumeathiri kiasi gani...
Nachojua mimi hakuna adhabu kali kwa mfanyakazi yeyote kama kumwachisha kazi, hv kampuni inapoamua kukuachisha kazi alafu inachukua jukumu la kutuma email na kuchafua details zako kwenye kampuni...
wapendwa Bwana Yesu asifiwe
Mungu ni mwema tunashukuruu kwa kutufikisha mahali hapa zikiwa zimebakia siku kadhaa kumaliza mwaka 2011
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uweza wake na si mbaya...
Honorable Majesty the Queen. We have sadly and shockingly heard the bid by Honorable Prime Minister David Cameroon requiring members of the Common Wealth to legalize same sex marriage. With that...
Siku moja nilisikia Rijamaa Rimoja Rinasema , "VITA NI VITA MURA", sikujua huyu jamaa alikuwa na maana gani?. Kumbe vita ya maneno ndiyo mbaya kuliko hata ile ya kushika SILAHA. Nadhani hii...
Fighters*belonging to the Revolutionary Armed Forces of Colombia, or FARC,*have*pledged to continue*their armed struggle*after the death of their leader, Alfonso Cano, dealt the group their...
Wazee,
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara...
Nchi imeyumba kila sekta.
Watanzania hawana matumaini tena ya maisha yao. Idadi ya maskini inazidi kuongezeka kila kukicha. Zile mbwembwe za 'maisha bora kwa kila mtanzania' zimeyeyuka kama...
Mi nafikiri kazi ya polisi wanapopata hizi taarifa ambazo wanaita za kiitelijinsia ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia mikutano kufanyika maana huku ni kurudishana nyuma kwakweli.
Hawa polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.