Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 24th February 2011 @ 08:20 MTOTO wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi amepandishwa kizimbani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau za leo, katika kuhangaika nimebahatika kukusanya kiasi na sasa nataka na mimi nipumzike kutembea kwa miguu safari ndefu za mjini. Kwa ufupi nataka kununua mkoko. Nimetembelea website za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
AWALAUMU WATU WANAOPINGA MALIPO YA DOWANS, ATAKA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE Raymond Kaminyoge WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema haoni nia ya dhati kwa viongozi wa ngazi za juu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamii ya sasa inakabiliwa na changamoto nyingi,mtaongea mengi lakini....Amin nakuambieni,hakuna kitakachomsumbua mwanadamu wa leo kama tumbo lake".Asikudanganye mtu,tumbo lina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umeme wazidi kumkaanga Ngeleja Saturday, 05 November 2011 15:14 Waandishi Wetu Mwananchi UJUMBE wa Serikali ulioongozwa na Waziri wa Nishati na Madini...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Yanayojilia hoja za UK kupunguza mkopo tuliozoeshwa kuita msaada wa bajeti kwa Tanzania si ushoga, bali ni ubakaji wa demokrasia nchini. Viongozi waandamizi wa serikali wamekomalia kuongelea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poly=many tics=techniques. Tatizo hapo kwenye techniques
0 Reactions
1 Replies
2K Views
For the second time in two years WikiLeaks announced it was suspending publication of secret documents due to financial difficulties. The site has already failed to make good on months-old...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe is expecting to attend a meeting scheduled for November 20 in Nairobi, Kenya, to discuss how to help Kenyans and Somalis in the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dezidellius patrick amefungua kesi 79/2011 mahakama kuu dhidi ya askofu kakobe kwa kutumia katiba ya zamani ambayo imesha futwa. Katiba hiyo ilifutwa kufuatia wadhamini kufariki na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wana JF, Juzi nilistuka sana kusikia Redioni tangazo la Mganga wa kienyeji llililokuwa linatoa taarifa kuwa tiba zifuatazo zinapatikana1. Kupanda cheo kazini 2. Kuvuta wateja( mvuto wa biashara)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mhe sitta ameamua kuelimisha umma 2ijui East africa plz msikose ili 2weza kuijadili vema.japo sijui msemaji wa wizara yuko wp? Mpaka waziri ameamua kusika mpini mwenyewe
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka kama mitatu huko nyuma Rais Mugabe aliwambia British (Tony Blair)kuwa wana Create United Gays Kingdom leo tunashuhudia maneno yake
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu , arusha as my reference point kwanza nianze kwa kupongeza harakati nazo ziona ndani ya mkoa huu wa arusha kwa kuonekana jinsi walivyo na muitiko chanya kwenye madiliko hasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Daa mmesikia kutoka kwa Membe Mzee wa Kaya alikuwa analetewa balozi amkaribishe sasa akaona mume na mume sijui ni mume na mke lakini wote ni mashoga akasema "toba yarabi" nakuto wakubali mpaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa muda nimegundua yafuatayo. Kwamba maendeleo ya kweli kwa TZ yetu kamwe hayawezi kuja ndani ya utawala wa sasa wa CCM. Wengi tunajilinganisha na jirani zetu Rwanda, Kenya, Uganda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa nasoma hii Habari ya Rais wa Zambia Michael Satta Kumteua Mwamba kuwa PS ila nguvu ya umma imemkataa! Dalili kama hizi nafikiri muda siyo mrefu tutaanza kuziona hapa kwetu hii mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
George Papandreou, Greece's prime minister, has survived a confidence vote, calming a revolt in his ruling Socialist party with an emotional pledge to step aside if need be and seek a cross-party...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Barua ya wazi kwa rais Sisi wafanyakazi 12 wa Bodi ya TumbakuTanzania (TTB) kada ya udereva na wahudumu, tunapenda kuwasilisha kwako kero yauchakachuliwaji wa mishahara yetu uliofanya kati ya Bodi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jengo la Mackay House lililopo katikati ya mji wa Dodoma ni moja ya majengo makongwe kabisa ya mji huu. Jengo hili linamilikiwa na Diocese of Central Tanganyika. Kwa sasa jengo hili kwa nje ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom