Tangu achukue nchi kwa mbwembwe na kura nyingi mwaka 2005 ..JK amelisaidia nini taifa letu hili lenye rasilimali nyingi ..na akiondoka tukamkumbuka kwa kitu gani kizuri?..achana na safari zake...
At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako...
Mheshimiwa Lema , profile yako kwenye facebook haiko active? inamiss baadhi ya inaformation unahitaji kuwa supported , michango yetu kwako hata ya mawazo ni muhimu ili kukujenga zaidi kisiasa. ni...
Nadhani itasaidia. Kwa sasa hali ya uchumi hasa mdogo (micro-level) ambao ndio hasa unawagusa wananchi wa chini moja kwa moja imekuwa mbaya sana, huku mfumuko wa bei nao ukipaa kwa kasi ya ajabu...
Basi leo ndani ya A - town, nimetoka katika hotel moja kupata lunch nikiwa nimeshika chupa ya maji mkononi. Baada ya kutembea kama hatua 100, nikakuta mama mmoja aneonekana kuwa kichaa wa siku...
Mwanangu Dr Kigwangalla,
Pole kwa yote yaliyokupata huko Nzega na pongezi zangu za kutoka moyoni kwa kuyasema haya uliyoyasema baada ya kuona jinsi wanasiasa wa kubwa wa chama tawala cha CCM pale...
Hivi hawa vilaza si walitangaza mgao kwisha kwa miezi mitatu...sasa mbona use..nge ni uleule wa kuzima umeme tena bila taarifa?? Hakyanani ningeweza kujiunga na al shabab huyu ngeleja ningesha...
Arusha "was expecting" to host Ghadafi's case kama jamaa asingeuliwa.
Bahati mbaya waasi wamemtoa roho hivyo kulikosesha jiji hili mapato ambayo yangetokana na kesi hii......
For more infos...
Brain drain: No solution in sight to retain skilled staff
Monday, 31 October 2011 19:22
By Esther Kibakaya
The Citizen Reporter
THE CITIZEN
Henry Kimaro graduated with a diploma...
Wanajanvi naomba msaada mwenyekujua kinachoendelea maana jamaa wanapigiwa simu hawapokei.Nina namba yao moja ya Voda tu ila customer care hawapokei au wamefirisika?'!
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wale wote waliojiunga jf siku kama ya leo ikiwamo mimi mwenyewe.Naamini kuwa wengi wao wametoa michango mizuri sana ambayo kwa namna moja ama nyingine...
Hello guys,
Hivi karibuni tumewasikia baadhi ya viongozi wakilipigia kelele suala la ukosefu wa ajira kwa vijana wa Tz wakiwemo Lowasa,sita na Membe kwa nyakati tofauti,Najiuliza maswali mengi juu...
Inasemekana mtoto aliyeifanya population ya watu duniani kufikia bilioni 7 alizaliwa dakika mbili kabla ya kutimia usiku wa manane hapo jana katika hospitali moja mjini manila nchini...
eti dunia idadi ya watu imeongezeka na kufikia billion7.wanasema eti mtoto wa billion saba amezaliwa Tanzania ambapo bado hajapewa jina ila kazaliwa na mwanamama Kurwa Juma.
swali rangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.