Mtoto wa ajabu amezaliwa akiwa na viungo
vinne vya uzazi vya kiume, sehemu za
kutolea haja kubwa mbili moja ikiwa
mgongoni pamoja na mguu mkubwa wenye
vidole sita ambao nao umeota kati kati ya...
Serikali imeingilia kati bei ya saruji nchini kwa kushusha ushuru wake inayoagizwa nje kutoka asilimia 35 mpaka 25..mbali na saruji, pia serikali itapunguza ushuru wa vifaa vingine vya ujenzi na...
?Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Liberia ambaye amekuwa akituhumiwa kumpendelea Rais Ellen Johnson Sirleaf amejiuzulu, siku chache kabla ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini humo...
Wapendwa nawasalaam.
Nikiwa mwanajamii, ningependa kujua nani atakayelipwa mabilioni ya Dowans
Alafu mjamaa anasema hawajui, na wala hana haja ya kuwajua, hawajawahi kumfuata!!
sasa mimi...
?Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Liberia ambaye amekuwa akituhumiwa kumpendelea Rais Ellen Johnson Sirleaf amejiuzulu, siku chache kabla ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini humo...
Habari wakuu, Mie nimekuwa najiuliza kwa miaka mingi iwapo Taifa letu lina identity katika mambo yafyatayo
1.Mavazi -
2. Ngoma-
3. chakula -
4. michezo na kadhalika.
katika mtaa wa indira gadhi hapa jijini dar ukingo wa kuzuia vitu vinavyoanguka toka ghorofani umeanguka na kuharibu gari nne ambazo ni aina ya tax kama dakika kumi zimepita. Chanzo cha uzio huo...
Dont count on us to help you out of your single-currency hole, China tells Europe
We cannot provide a cure for the European malaise
ina will ride to the rescue of the single currency were...
Ni wiki moja sasa imepita tangu chuo kifunguliwe lakini bado wanafunzi hawajapata pesa yao ya mkopo has wananafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3.
Wanafunzi wa kitivo cha elimu walimbana rais wao aitwaye...
Jana nilikwenda kumwona babu yangu hospital ya mwananyala, nilishtushwa kwa hali niliyoikuta. 1. kitanda kimoja watu wawili, harufu nzito kupita kiasi. nilipotaka kujua tatizo lake walinambia...
Huyu mama alikuwa mmiliki wa majumba kadhaa maeneo ya masaki, mikocheni na mbezi jijini daressalam hata uingereza alikuwa na majumba, aliendesha biashara zake kwa mafanikio makubwa.
Alianza na...
Nimekutana na muumini mwenzangu ambaye anafanya kazi Botswana na kunieleza jinsi immigration yao isivyolala usingizi kama ya kwetu. Kule kupata kibali cha kufanya kazi ni kitu kigumu na kinafuata...
Rais wa Sudan, Omar Al Bashir amesema nchi yake ilitoa msaada wa wapinzani wa Libya waliomuondoa madarakani Kanali Muammar Gaddafi.
Katika hotuba kupitia televisheni, Bashir alisema hatua hiyo...
Suala la kukimbiza mwenge wa uhuru Tanzania nzima ni suala ambalo linaigharimu Nchi mamilioni ya fedha
wakati huo huo mwenge huo huwa unakua unafungua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi...
Kifo cha Gaddafi na maajabu ya Watanzania
Prudence Karugendo
MAPINDUZI ya umma ya Libya yaliyoungoa utawala wa miaka 42 wa Kanali Muammar Gaddafi na hatimaye kusababisha kifo cha...
Wakuu wetu wengi wamekuwa wakikabiliwa na maradhi mbalimbali na kupelekwa India kwa matibabu zaidi baada ya hospitali zetu za hapa nchini kushindwa.Wapo wengi toka siku za nyuma na mpaka hivi...
Manzese Tiptop nieneo katika jiji la dar es Salam linalo kua kwa kasi ya ajabu chaajabu hapa ni Serekali kutokuweka mipango madhubuti ya ukuaji wa hili eneo haswa katika eneo la miundo mbinu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.