Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kiongozi wa hazina ya mkopo wa dhamana katika mataifa ya Ulaya yanayotumia sarafu ya Euro Klaus Regling amewasili mjini Beijing,Uchina katika harakati za kuishawishi Uchina kuwekeza fedha katika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
HIVI HUU NI MGAWO WA UMEME AU NI NINI?mara umewaka mara umezimika,kwa nini Ngeleja na Malima wasijiuzulu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zinazidi kuzagaa hapa dar kuwa yule Mfanyabiasha Tapeli wa kimataifa kakumbana na mkono wa wajanja pale Gwang Nsuu China kwa kumnyofoa uume baada ya kumtegea mtego! Wanyetishaji wanasema...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
TRL imetulia, hakuna tena ,,,,,solidarity forverx3. Inawezekana jamaa alikua anachochea migogoro ili kuuza sura na hasa ukizingatia wahaya wengi wanapenda kesi. Ni mtizamo tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba Tanzania inasifika kwa kutokuwa na ukabila na athari zitokanazo na ukabila, unaitajika utafiti wa kutosha kuthibitisha hayo!. Zamani wahaya walizungumzwa sana kwa tabia hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
katika kile kinachoonekana TAIFA kupoteza mwelekeo katika vita dhidi ya Magonjwa, ni pale ambapo wataalamu wameungana na wanasiasa kukimbilia majibu mepesi katika kupambana na magonjwa. Elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa taarifa nlizonazo toka kwa wanaharakati Leo wameitisha Rev Square na misimamo ni kwamba wataandamana hata kama yamepigwa marufu. Wanaharakati wametoa waraka wakidai kama ni Al shabab basi na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapa Mwanza ni vilio vitupu! Mishahara ya watumishi(wengi ni wale wa kada za afya) mwezi huu wa oktoba pesa zimekatwa na Hazina bila taarifa,watu wamekatwa kuanzia sh. 80000 na kuendelea wengine...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani jana baadhi ya watu wasiopenda wanaharakati walizusha kuwa mbunge wa kigoma kaskazini ametutoka watu tukapatwa na mishtuko ya ghafla kwani unasikia Mh.mwakyembe anaumwa mara Mh.mwandosya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka mbunge wa kigoma Kwenye last session ya Bunge alichangia Hoja kwa kusema Hospital zetu zina hali ya chini kwa huduma kiasi kwamba Viongozi Hawakubali kutibiwa, akapingwa na baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
akiongea na waandishi wa habari kova alitoa saababu za kupiga marufuku maandamano ya dowans kuwa ni pamoja na tishio la kuwepo kwa kikundi cha kigaidi cha alshabab, akapiga marufuku mikusanyiko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadungu, JF Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote. kilichonikimbiza Chadema ni udini...
0 Reactions
117 Replies
9K Views
hatuna budi kutowa tofauti zetu za kisiasa/din tuwaombee wapambanaji wetu wote walio kubwa na magojwa Utukufu uwe kwako, Ee Bwana MUNGU! wetu nakusihi wewe kwa jina lako ambalo kwalo wewe umeinua...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kwa muda sasa nimesikia huyu kijana amekuwa kitandani kutokana na malazi. Hivi karibuni nilisikia kuwa jamaa anaumwa 'seriously' kwa nyeti za juu juu ni kwamba anaugua saratani ndani ya kichwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna tabia imejengeka katika baadhi ya mitaa ya miji kadha. Usiku wale waliokosa ustaarabu ndio wanautumia kubeba viroba vya takataka na kuvimwaga katikati ya njia. tabia hii wana JF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumapili nilikuwa nasikiliza matangazo ya mpira ya England Premier League kati ya Man City na Man U.Katikati ya matangazo,Charles Hilary akasema; "kwa sasa, tofauti ya masaa kati ya East Africa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Kampuni ya ndege ya rwandair inatarajia kuingiza ndege yake ya pili b737/800 kutokea seattle marekani..habari zaidi zinasema ndege hiyo mpya iliotokea kiwandani inatarajia kuwasili mchana huu saa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika muendelezo wa vituko vya kamati ya bunge inayokutana navyo vs cag ripoti kamishna wa magereza mh agustino nanyaro jana alishikwa na kigugumizi cha mdomo pale alipoonyeshwa taarifa ya cag...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWAKA 2009, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Bukoba (DC), Albert Mnali, ‘aliweka rekodi ya taifa’ kwa kuwachapa viboko walimu waliochelewa kufika shuleni kwao, shule za msingi za Kanazi, Katerero na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom