Ndugu wadaui,miezi kama miwili iliyopita tulisikia juu ya tamasha la mtandao wa jinsia tanzania(tgnp) lilivyowaalika mashoga na kuwa wazi kwa kuwataka watoe hisia zao juu ya ushoga na usagaji...
....Jumamosi kuna maandamano yaliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali yakiongozwa na kituo cha sheria na haki za binadamu kupinga malipo kwa DOWANS nakuwa na shaka kama haya...
Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumjulia hali Zitto Kabwe.
Jamani wabunge wetu wanapenda sana promo haswa kwenye maswala ya shida, angalia hawa...
Marekani wapo kwenye mpango mkakat wa kuishambulia Somalia kwa lengo la kuwatafuta na kuwaangamiza Al-Shabab wenye makaz yao Somalia!
Marekani wameshaanza kuzifanyia marekebisho ndege zake ambazo...
Member wanahitajika kwa mradi unaotarajiwa kuanza haraka mkoani morogoro. Fika ofisini kwetu Tabata Aroma kwa maelezo zaidi au piga simu # 0715922392, 0767922392, 0714025656, 0767025656, au email...
Team to probe death toll, cause of accident
By Sylivester Domasa
27th October 2011
Chief Traffic Commander, Mohammed Mpinga
The government has formed a committee to...
Ndugu zangu,
Kuna tuliomsoma mwanafasihi Shaaban Robert. Kuna mahali kwenye kitabu chake Nchi Ya Kusadikika Shabaan Robert anamwelezea mchwa anayekaribia kufa.
Kwamba huota mbawa...
Tunashukuru hali imepungua ya ukali wa mgao,sio haba umeme tunao siku nzima sasa.Ila nashangaa sisikii majadiliano tena kuhusu hali ya umeme wa nchi.Nadhani sio sahihi,tutasababisha hata wakirudi...
Wana jf
Inakuaje huduma za simu tulipe kodi mara mbili.
1. Ninaponunua vocha nalipa kodi.
2. Wakati napiga simu, ktk huduma zao pia wameweka na VAT.
Huu si wizi wa wazi wazi?
Wanabodi,
Inasemekana Waswiss ndio mabingwa wa hospitality katika huduma za mahoteli, ila kusema la ukweli, ubingwa huo wa hospitality unakwenda sambamba na kuwakamua kisawasawa wateja wao...
Jamani wachumi twambieni wapi tunaelekea.?
Wapi wanasiasa wanaipeleka nchi?
Wapinzani nanyi mnakubali hali hii??????????
Hebu tupinge hali hii.
Yaani jana exchange rate was about 1,7..0
Today ...
Habari JF!.
Naangalia kipindi hicho...mama mmoja kutoka kigoma wilaya ya kasulu....amewachana ...yaan wazee wanalalamika kutengwa na kunyanyaswa...wanahitaji muwakilishi wao mjengoni.
Jana katika kipindi cha dk45 cha ITV waziri wa Africa mashariki
S. SIta alisema spika wa sasa kawekwa na MAFISADI nimesikia kuwa
mama Makinda anajiandaa kuongea na waandishi wa Habari kwa...
Nimeona kwenye facebook mhindi yule wa mohamed enterprises anajigamba kwamba anampigia simu gavana ampe solutions za matatizo ya kuporomoka shilingi na mfumko wa bei...hivi hawa wahindi mbona...
Jamani tiGo hebu jirekebisheni upesi, hii imezidi sasa!!, wife yupo nje ya nchi ananitumia msg then mi nareply kumbe msg zangu hazipati na wakati hela nyie mmeshakata, siku ya kwanza wife alidhani...
mgomo umetokea katika chuo cha elimu ya biashara-DSM campus.Wanafunzi wamegoma kuingia madarasan wakidai
ungozi mpya unaokidhi matakwa ya NACTE.Awali alikuwepo dr Lugoe aliyehamishiwa...
kukiwa kuna hali isiyolasimi ya kumiliki viwanja visivyo pimwa hadi kusababisha msongamano wa vijumba vidogodogoambavyo havina vyoo wala barabara huku tanesco na dawasco ikipeleka huduma, ni jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.