Wanajamii niko Pretoria, South Africa kikazi katika moja ya mambo yaliyonivutia hapa ni habari za kuwepo kwa chama cha wanafunzi wa elimu ya juu kilichotimiza umri wa miaka 20 jana october 26...
The Tanzania shilling hit a new, all-time low at 1,765 against the US dollar on Tuesday despite last weeks interventions by the central bank meant to stop further depreciation of the currency...
Najaribu kufikiria kama kikundi cha Al-Shaabab kilifadhiliwa na yule marehemu gwiji wa ugaidi aliyezikwa baharini ? Sababu kubwa hili kundi la Al-Shaabab linazidi kushamili, kwenye ukanda wa...
Magic FM walitangaza tetesi kuwa kuna mtu alikuwepo ghorofa ya 8 katika hotel ya Hyatt Regency (ex-Kilimanjaro) na alikuwa anataka kujirusha iwapo hataonana na kuongea na IGP Mwema in person...
Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag.
Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake...
Leo tarehe 26/10/2011 imekuwa ni siku ya mshangao kwangu. Mishale ya sa nne asubuhi nilinunua muda wa maongezi wa shilingi kupitia tigo pesa lakini kitu cha ajabu nilijibiwa kwamba nyongeza ya...
Baada ya kama saa moja hivi (sawa na saa tisa EST), saa nane CST karibu sawa na saa nne EAT mwanasheria na mwanaharakati wa mazingira Bw. Tundu Lissu atakuwa nami moja kwa moja toka jijini Dar...
Ticts kuna mgomo toka saa moja asubuhi leo ,madai ya hisa na ongezeko la mishaara ,baadhi ya mabosi wazungu wanyanyasaji na wanajiripa mabilioni ya pesa ,
Habari nilizozipata kupitia mtandao wa nchi kavu kuhusiana na Gazeti la Mwanahalisi ambalo huwa linatoka kila wiki siku ya jumatano ni kua wiki hii halijatoka huku mikoani hakuna hata matumaini...
Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri...
NHC inatangaza uuzaji wa nyumba zake mpya[sina idadi]zilizoko Arusha mtaa wa Wachagga. Ukubwa ni sqm165.Master bedroom moja,vyumba vitatu vya kulala,dinning,spacious sitting room,na ina balcony...
Habari zenu wana jf katika pitapita zangu mida hii nimelifuma gari fuso lenye kibin nyeupe na box body ya blue namba T 264 ACA mkoani wa arusha maeneo ya lemara mabwawan kwan walikuwa wamelificha...
Nyie juzi tu hapa mmetutangazia mgao umeisha mpaka january leo moshi mjin hapa siku ya pili hamna umeme na hakuna taharifa zozote za maana. Mnataka sisi tuwaeleweje au tuwatukanie wazazi ndo mjue...
Kwa habari za uhakika nikwamba walio enda nje kwa matibabu hawatarudi kwa hali inavyoonyesha na lengo la wa2 flani walio wawekea sumu nikuwa wawili kati ya walioenda walirudi salama coz waliiwahi...
WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kujitangaza hadharani mara wanapopimwa na kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Mwito huo umetolewa na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa...
Na Woinde Shizza,Moshi
BAADHI ya Vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wa Mjini Igunga waliohusika na kitendo cha kumwagia tindikali kijana mmoja ambaye ni mfuasi wa chama cha...
Ndugu wanajamvi.
juzi mjini dodoma katika jitongoji cha njendengwa kuna vurugu zilijitokeza wakati wananchi zaidi ya 2000 (nyumba)500 walipobomolewa nyumba zao na tinga tinga kumpisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.