Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana JF Kuna tetesi kuwa kuanzia kesho diesel na petrol vitakosekana, nimejaribu kufuatilia miji ya dar na arusha ni kweli jioni hii kuna foleni kwenye vituo vya mafuta, hili litapelekea mitambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Stella Aron JESHI la Polisi limewatia nguvuni askari wake wanane kwa kuhusika na wizi wa stika za wiki ya nenda kwa usalama zilizoibiwa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Kikosi cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye website ya gazeti la Tazama Tanzania
0 Reactions
1 Replies
3K Views
IMEKUWA desturi ya polisi wa TANZANIA kuua wananchi migodini kwa risasi ilimradi tu kulinda maslahi ya wakoloni waliobadilika na kuitwa wawekezaji! kitendo cha polisi kanda maalum hussani mkoani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madin imesema kuwa kuanzia sasa mgao wa umeme umeshaisha hadi mwezi january,amesema kuwa hilo limesababishwa na kujaa kwa baadh ya mabwawa na pia kuna...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
BE WARNED! The Video You Are About To Watch Is Very Disturbing. Depressing Indeed. This sad story is of a Chinese toddler, Yue Yue, who was run over by two cars on Wednesday this week, and was...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi viongozi wetu huwa hawasafiri na kuona miji mingine mikubwa inavyo endeshwa???????? hivi hizi bodaboda zinavyo ongezeka na bajaji na kuzidisha kero jijini hapa hakuna anaetazama na kuliona...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu msemaji wa ikulu kwenye akaunti yake sijui ni yeye au kuna watu wanamchezea wanapost vitu vya kushangaza mfano kukiri kuwa kweli rais alihongwa suti,wenye account twitter search...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Juzi na jana, vyombo vya habari vimeripoti juu ya harambee iliyofanyika huko Yombo Dovya kwa ajili ya ujenzi wa taasisi moja ya kidini (dhehebu la Anglikana). Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Basi la delux limepinduka na kuteketea KWA moto muda huu abiria wote kasoro abiria nane tu, wamepoteza maisha.lilikuwa na abiria 58,NA LILIKUWA LINAENDA DODOMA,limepata ajali misugusugu maeneo ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Pia imetumika kwenye video ya Baby (Cash Money) -Fire Flame http://www.youtube.com/watch?v=DALvNCbgcKg <a href="http://www.youtube.com/watch?v=DALvNCbgcKg">
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Hatua ya Nape kutoa pendekezo la kukutana viongozi wa CCM na Chadema kujadili kuhusu kupinga malipo ya Dowans si kitu cha kukichukulia kiulaini, nyuma ya pazia kuna kitu kinachozungukwa na hivyo...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
kundi la majambazi waliokuwa na buduki mbili aina ya SMG leo saa 12 alfajiri wamewapiga risasi na kuwaua askari wawili wa JWTZ katika tukio la utekaji nyara wa magari wilayani biharamulo mkoni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Inasemekana Kuna gari limepinduka na kuwaka moto Kibaha watu karibu wotre wamepoteza Maisha... Walio karibu tafadhari fuatilieni na mtujuze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia mitazamo ya wanasiasa ndani ya AFRIKA ambao wengi wao wamelaani kuuawawa kwa GADDAFI lakini bwana SLAA kwake ni furaha kama waasi wa LIBYA ndipo nikagundua SLAA ni kivuli cha...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
BASI LA DELUX LAPATA AJALI MBAYA MKOANI PWANI, LATEKETEA KWA MOTO, WATU WATANO WADAIWA KUOKOLEWA, KWA HABARI ZAIDI UNGANA NASI BAADAYE-Mwananchi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeambiwa kama unaishi Dar au Kigamboni usisome Uk. 9 unaweza kuhama mji!
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimetokea Tanga kuwlekea Dat njiani nimekuta ajali mbili zote ni mabasi ya abirii Dar Express kabla ya kufika Kabuku limeanguka barabarani limelalia upande mmoja bahati mbaya ckuweza kupata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasemekana meli hiyo imekwama katika eneo ilipozama MV Spice Islander kwa zaidi ya masaa nane na kuzua taharuki kubwa kwa abiria wanosafiri na Chombo hicho. source: Michuzi BLOG
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar azindua kikundi cha Taarab cha Tausi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom