Hv kinachosubiriwa ni ajali ili iundwe tume na litolewe tamko la kupiga marufuku usafiri huu wa abiria ni wapi kilitolewa kibali gari hizi zibebe abiria!!leo nimeahirisha safari baada ya kukosa...
WanaJF nawaombeni sana kama mtanzania mzalendo twende kwenye www.n7w.com ili tuuchague mlima kilimanjaro uingie kwenye seven wonders of the Nature. ukiingia una faida nyingi kwa watanzania...
wakuu nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana television zetu,Tbc,Star,Itv nk
mnaonaje je mnaridhika na huduma yao au unasema tutafanyeje??
mimi binafsi sijaridhika kamwe,nahisi wanafanya mambo...
Mzee chiligati amesema kuwa katika Chama Cha Mapinduzi msemaji wao ni mmoja tu nae ni Nape,
*Kama issue ndio hiyo,ccm wamfundishe Nape cha Kuzungumza,si matusi kama ya mwanza
WanaJF habari za asubuhi
napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi.
Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu
kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC...
Wadau mimi ni mmoja wa wahanga wa usafiri wa daladala hapa mjini. Hali ni mbaya sana kwa sasa, kwani inapofika jioni daladala nyingi zinakatisha route zake. Watu wa mbezi ya Kimara watakubaliana...
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs...
Nikiwa kama mwana Jf niliyewah kuishi na kusoma mkoa wa Mbeya nahuzunika sana kusikia matukio ya watu kupigwa nondo...swali langu je ni ukosefu wa ulinzi shirikishi au ni ushirikina? Je serikali...
Fauja Singh becomes the world oldest marathon runner. Fauja now 100 years old ran the Toronto Waterfront Marathon in 8 hrs 25 min.
Siri ya mafanakio yake? Ubwaba,chai na kuwa mchangamfu daily...
Wataaalam wa umeme tunaomba watujuze; Hivi umeme wa gesi (Gas Plant) unaweza kutumika kama 'Continuous power' au 'Standby power'?
Kwa nini TANESCO na Serikali wanang'ang'ania umeme wa gesi kama...
MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO AMOS MAKALA ATEMBELEA
ENEO LA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANAKIJIJI NA MWEKEZAJI
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uziouliowekwa...
Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani...
Nchi hii inapoteza mwelekeo! Kila kitu sasa ni kwa jina la Nyerere! Eti hata chuo kikuu cha Dar es Salaam kinabadilishwa jina kuitwa Mwalimu Julius Nyerere University. Hii ni sawa? Mbona...
- 6/17/2009 - From Morgan Owusu, Kumasi
AN ABOMINATION was recorded on Monday June 8 at Ahwerem-Domeabra in the Ahafo-Ano South district of the Ashanti region when a 16-year-old boy was caught...
Hivi nyie wamiliki kama mko huku JF mnayafanyiaga magari yenu service?
Leo usafiri wa kutoka Arusha kwenda Morogoro ulikuwa wa shida sana! Magari kama Hood, Abood, BM yalikuwa yamejaa, abiria...
Habari wana JF, ni matumaini yangu makubwa muwenye afya njema , poleni kwa wale afya si njema sana Mungu awabariki napate kurudia afya zenu ilituweze kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo la nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.