Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari zenu wana JF: Ndugu zangu mimi bado natatizwa na suala zima la muundo wa serikali yetu, mwaka huu tunasheherekea miaka 50 wa Tanganyika na siyo tanzania tena ambayo nayo huwa tuna sema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Prince Charles -- THE PRINCE OF WALES AND THE DUCHESS OF CORNWALL TO TOUR COMMONWEALTH AND GULF COUNTRIES The British Government has asked The Prince of Wales and The Duchess of Cornwall to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
ninasikitishwa sana na kitendo cha kupotezwa mila zetu na wazungu enzi zile taratibu za mila ziliwaadhibu waliokwenda kinyume na kanuni na taratibu zilizowekwa lakini leo hii watu wanafanya vitu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imeandikwa na Deus Gabone, Karagwe; Tarehe: 15th October 2011 KUIBUKA ghafla kwa soko la madini ya bati yanayopatikana katika wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera, huenda kukaathiri jitihada...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hivi ndivyo mnavyotumia ofisi zenu kujaza matikitii? Wenzenu wanavuna wanachama na kuimarisha matawi, ninyi mnajaza na kuuzia ofisi matikiti,, halafu mkishindwa (kupigwa asubuhi fasta) mnaanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika moja ya masuala ambayo yalijadiliwa jana pale ubungo plaza ni suala la vijana kuwa watu wa kulalamalalama tuu badala ya kuwajibika,mzee Butiku na Warioba waliyaelezea haya mambo kwa kusema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa 'magwanda' wanajua sana kushangilia ushindi kabla mchezo haujesha. Utakuta mashabiki wa asernal timu yao iko mbele kipindi cha kwanza kwa 3-0, wanashangilia sana tu. Maskini kipindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndg zanguni kuna ishu fulani nataka niifuatilie hapo kiwandani. Kwa anayejua naombeni uwelewa wenu.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
  • Closed
Mwenye kuyajua mazuri ya huyu Dr Jakaya Kikwete atumwagie hapa jamvini.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau ninapenda kujua magazeti mawili yanayoongoza kwa kusomwa sana na watu hapa nchini?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
TCRA wako wapi? Wanafanya nini? Ewura ikowapi? Na wanafanya nini? Ninani wa kutusaidia wateja kutokana na wizi huu? Walitangaza Tsh1/sec lakini sasa ukipiga simu ni Tsh2.60/sec jamani tunakwenda wapi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali ya taharuki leo majira ya saa mbili nikiwa najiandaa kupanda kivuko nikitokea kigamboni nilishuhudia kivuko kikipoteza uelekeo mahli kilipokua kimepaki na kutaka kugonga mitumbwi na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wanajamvi,kuna documentary ínaonyesha maovu ya barrick goldmines huko Bolivia,ambayo imenigusa kwani kila kinachoongelewa ni kama yanayotusibu hapa kwetu.yeyote mwenye nafasi aangalie aljazeera tv...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu muu hali gaani? Ningependa kujuwa jk alikuwa wapi wakati huu wa kuadhimisha death day ya mwasisi wa taifa letu na kipenzi cha wengi kwani ktk fuatilia yangu ya vyombo mbalimbali vya habari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
(Photo: jerka/stock.xchng) I get through the sleepless days of being a stay-at-home dad, freelance writer, and DIY remodeler with copious quantities of tea. I drink Celestial Seasonings Morning...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Watanzania wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwa na viongozi wa namna mpya wenye uchungu na wananchi na siyo wanaofaidika na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni namna unavyoweza kukokotoa gharama za kodi endapo umeagizia gari. Exclusively other costs kama Clearing and forwarding agent Car registration and license Shipping line charge and Port...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Maandamano ya "Wall Street" yaingia Ujerumani
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Nakumbuka ilikuwa siku ya jumanne niko kidato cha pili majira ya saa 4:30 tuko darasani na mwl wa Archtectural drawing ,ilikuwa ni mlinzi wa shule ndio alikuwa anazunguka kwenye corridor za...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Back
Top Bottom