Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Rais wa TZ Mh. JK ninakushauri ufanye yafuatayo tutakukumbuka nayo. 1. Tupatie Katiba mpya 2. Tupatie Tume huru ya Uchaguzi 3. Iimarishe CCM kwa kuwafukuza mafisadi 4. Wadhibiti watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekaa na washkaji wangu hapa tunabadilishana mawazo kutokana na hali halisi ya maisha yalivyo: Sasa mmoja kati ye2 anavuta sigara,mwenzangu akachukua kile kiberiti akatoa njiti akawa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Tumaini Makene NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Kabwe Zitto ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana (BAVICHA), huku akisema kuwa...
0 Reactions
375 Replies
25K Views
Huyu Ndiye Nyerere akiwa nje ya ofisi yake kama Rais Ikulu, lakini makazi yake hayakuwa hapo, ila kuleeee Msasani. Alibuni Ikulu ya Chamwino Dodoma, lakini waliomfuata Dar kumewanogea, na kuishi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Source: The Economist Happiness is in your DNA; and different races may have different propensities for it Oct 15th 2011 | Born smiling? THE idea that the human personality is a blank slate...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wanadai ni kwa sababu ya kubadilika kwa taratibu za kiutendaji ambapo kuna vitengo vimebadilishwa kazi zake za awali na kupewa kazi nyengine. baadae kidogo nikamfuata mshkaji wangu mmoja ambaye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
IRAN imetoa trekta ndogo aina ya Power tiller 100 kwa Serikali ya Muungano wa Tanzania katika kusaidia kuinua na kuimarisha kilimo nchini na hasa kuunga mkono malengo ya Mpango wa Kilimo Kwanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, kwa mwenye taarifa rasmi juu ya hili em naomba anijuze tafadhali, hivi ni kwamba ule mgao mkali wa umeme ndo tayari umekwisha nchini ama vipi, maana huku nilipko mi sijaona umeme kukatika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi wenzangu leo nilikuwa safarini toka songea kuja dsm. Tulipofika kibamba tukakuta kuna ajali ya lori la kampuni ya pepsi barabara imejifunga mpaka sasa hivi saa tisa usiku kasoro dakika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je anachoeleza ndicho anachoishi na kuamini?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nini kifanyike ili kuwashughukia wanaolisha wengine sumu kwani kwa kweli inatisha na inasikitisha kama kuna watu wanafanya mpango wa kuwalisha wengine sumu sababu ya uongozi.Wana JF tutoe maoni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa ndo utaona kama taifa hatuna vision kila rais na yake. Ila huyo mwenye suti na suitcase anaonekana yupo serious zaidi kutuondoa kwenye umaskini! Tafakari chukua hatua!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali naomba uniambie. au ni PM Thank you
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari za uhakika zina sema kua Salim Nato (Chipata) mmiliki wa Southbeach na Mfanyakazi wake anaefahamika kwa jina la George walio tuhumiwa kwa Kesi ya mauaji ya Raia alie ingia Southbeach kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi aingii akilini kama hizi promotion ni zaukweli au magumashi nani mwenye rafiki au jamaa aliyeshinda Hyunda 100e,??mimi sijasikia kama kuna mtu aliyepata gari hizo zilizokuwa 100!je kweli kati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ulimwengu Umeamka! Vijana Wameamka! Wananchi wote Wameamka! Hasa vijana ambao ndio wahanga wakubwa wa matatizo yanayosababshwa na wanasiasa ulimwenguni. Walianza vijana wa kiarabu, Misri na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wanasiasa Tanzania tangu ulipokuja mfumo wa vyama vingi wamekuwa wakihama kutoka chama hiki hadi kile au wengine walikuwa CCM wakaja upinzani na kuponda sana chama tawala. Baada ya muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, kuna adhabu ambazo kwa muda nimekuwa nikizisikia katika msimulizi ya watu kama vile za kukatwa mikono, kukatwa vichwa na kupigwa mawe hadi kufa. Mara zote nimekuwa nikizichukuliwa kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafuatilia maadhimisho ya kumbujumbu ya kifo cha mwl nyerere huko butiama bt nimeshangaa kuona mtoto mmoja kati ya wale pale uwanjani kashika picha kuubwa inayomwonyesha jk akitabasamu nikajiuliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajf huku arusha mjini wiki hii yote imekuwa ya neema mvua inanyesha sana na hata udongo umeanza kukubali maji. Hebu wana jf tupeane habari za hali ya hewa kutoka mkoani kwako maana mvua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom