Yawezekana mama tibaijuka anajua uchafu mkubwa unaioendelea huko Nhc
Mh sabodo ametoa hayo maneno kwa kweli ukiyasoma utahuzunika na utajiuliza kwa nini mama tibaijuka
ameombwa zaidi ya mara 4 na...
Habari Wana JF,
Nina masikitiko makubwa na majonzi makubwa sana, nimejaribu kufuatilia kwa kila hali kutaka kujua CCM, CDM, Serikali au mashirika yanayojihusisha na haki za binadamu yanasemaje...
Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Sinde Warioba
Kama kuna kitu kimeanza kunigusa pabaya katika fikra zangu ni kauli za mara kwa mara za wale wanaotajwa kuwa ni viongozi wa zamani wa taifa letu...
Ikulu imekanusha habari zilizotolewa jana,na leo na gazeti la nipashe, Kwamba raisi jk aliwapunguzia kutoka kwenye hukumu ya kifo mpaka kifungo cha miaka miwili,makonstebo wa upelelezi waliomuua...
Ndugu zanguni wana JF nimesoma taarifa iliyopo humu kuhusu harakati za watu wabaya kupoteza maisha ya wengine kwa sababu za kisiasa, (SINA HAKIKA NA RIPOTI HIYOA) ukiisha muua...
Kama ulikuwa na modem ya Vodafone ZTE k3570 na kwa bahat mbaya sana driver za hiyo modem zikaharbika (zime corrupt) basi tiba yake leo imepatikana.
BOFYA HAPO CHINI ILI UI DOWNLOAD
<<ZTE DRIVERS>>
Hivi kama balali alikuwa mraia wa marekani then kwa sheria zipi zilimruhusu kuwa gavana aidha kama ni mtanzania then mpaka leo dual citizenship haijapitishwa hapa tanzania........ Hiyo yote kwa...
Inasikitisha sana
1.Hawajaonyesha habari ya zito.
2.Kuhusu pingamizi la ubunge kilwa kusini lililotupiliwa mbali na mahakama kuu,wamesema mgombea wa ccm ameshinda wakati wa cuf ndiye aliyeshinda
Ndugu zangu habari zenu. Nimekua nikisikia matangazo kuhusu Mkesha wa kumuenzi Mwalimu ambao kuna vijana wameuandaa na utafanyika Club SUNCIRO pale Sinza. Kinachonitatiza ni kwanini wanamuenzi...
Mnamo Novemba 9, 2005, katika Gazeti la Jitambue, ambalo halichapishwi kwa sasa kutokana na mhariri wake ndugu Munga Tehenan kuupoteza mwili, kulikuwa na makala moja iliyokuwa ikitabiri utawala wa...
Madiwani wa Halmadhauri ya wilaya ya Ludewa mkoa mpya wa Njombe (Iringa) leo wamegoma kuendelea na kikao cha tathimini ya robo mwaka juu ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Halmashauri...
Sijui hali itakuwaje, na sijui hali ikoje kule jumba jeupe, pale mheshimiwa na mtuhumiwa wa bunge anapoamuliwa achomoke. Hope kwa jinsi ilivyo siamini kama ni maamuzi yake binafsi. Wakuu mnasemaje?
wote tulijua amekufa kumbe kazimia tu.amekuja kuzinduka wakati wanamuingiza kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa.
Tukasikia sauti"nani ananiziba pua?acheni kunibanabana nipeni maji ya...
FEBRUARI 8, mwaka huu, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam.
Baada ya maelezo hayo, polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.