Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa wale mlioko marekani na ulaya je mmeathirika vipi na recession? Je mna mipango ya kurudi bongo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haya wana Jf,sio kila apatae scholarship kwenda kusoma nje ya Tanzania huenda kufanya kile kilichokusudiwa ,baadhi yao huenda kuendeleza kile alichokizoea kukifanya hapa Tanzania. unaweza...
0 Reactions
31 Replies
37K Views
Hii habari (kutoka DailyNews) somehow inaonyesha uzembe wa law firm MRN & M now known as REX attorneys. Mtakumbuka hawa ndio walikuwa lawyers wa Tanesco kwenye kesi na Dowans na matokeo yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndg wanaJF, nimeshangaa sana asubuhi hi wakati waziri wa kazi na ajira wa Tanzagiza alipokuwa anahojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu idadi ya wadanganyika wasio na kazi,akathubutu kusema ni asilimia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Huu moto wa dowans unadalili kubwa sana kwa mustakabali wa nchi yetu, nimepita kama maeneo matatu nimekuta mjadala mkali sana wa raia kuhusu maandamano na hatima ya isue ya dowans, kwa mtazamo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya tena kama kawaida watoto wa vigogo na vigogo wameamuwa kumkumbatia Mgiriki aliyefukuzwa nchini Tanzania,inasemekana wanamtafutia vibari vya kufanyia kazi hapa Tanzania ili aweza kusafirisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Hivi ni kweli Mh. Zitto Kabwe anatembelea gari aina ya Hammer ? Kama ni kweli basi ni hatari sana kwenye Jamii hii ya Watanzania amabayo tunamtukana JK kwa kujali zaidi maslahi ya familia yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Open Government Partnership | Inawezekana imewahi kujadiliwa, kama haijawahi kujadiliwa naomba tuijadili. Hii commitment kweli inatoka moyoni mwa viongozi wetu au ni kufurahisha watu flani wa...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote. Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Na Maggid Mjengwa,KESHO kutwa WaTanzania tutaadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Nyerere. Ni miaka kumi na miwili iliyopita tangu Mwalimu atutoke. Hakika, siku hii sasa imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto Cecilia alitangazwa hivi karibuni na Vituo mbali mbali vya habari akiomba msaada wa kusaidiwa pesa za matibabu ambazo zingeweza kumwezesha kufanyiwa operesheni ya moyo ambao umempelekea...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Niko Musoma, muda mfupi ujao mama Salma Kikwete atawasili hapa, kufungua maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kwa UWT, swali langu liko hapa gari la matangazo linapita mitaani kuhamasisha wananchi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
GreatThinkers, Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao Sijajua ni kwa nini mbinu hii...
5 Reactions
77 Replies
14K Views
nimepata tetesi kuwa hal ya kiafya ya huyu mzee haikuwa nzuri kwa yeyote mwenye upadates atusaidie ila nilichoelezwa mimi ni kuwa alikuwa mgonjwa sana leo
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakati mwendesha baiskeli yuko bize kwenye mashindano ya kuendesha baiskeli mwituni, nyumbu mmoja alitokea kusikojulikana na kumpiga daflao la nguvu na kumwangusha kisha kumgalagaza chali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Masikitiko yetu ni kumuonea huruma huyu anaejiita mbunge wa same magharibi jwani toka uchaguzi ulivyoisha jimboni huonekani,umeuza eneo la wazi kwa PANONE shubiri yako inachemka!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
kuna Taarifa kuwa David Mosha aliyekuwa mkurugenzi wa Inter consult amefariki dunia kwa ajali leo mchana Dkt. David Marshall Mosha , Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi za Wakurugenzi wa kampuni ya...
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Hili nalo ni la kushangaza. Hivi kipi chenye thamani, HIJABU au UHAI wa binadam aliyeumbwa na Allah? Mbona sijawasikia Bakwata au shura ya Maulamaa? Mufti Simba upo wapi? Kondoo zako wanachinjwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
It is an icy, 19,340ft climb that has challenged the most hardened and seasoned of athletes. But for 25-year-old Kyle Maynard, the ascent to top of Mount Kilimanjaro will be more than an...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wakimbizi kutoka visiwa vya Zanzibar wamekwama katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, wakidai serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa kibali kwa shirika la wakimbizi duniani UNHCR ili kuwarejesha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom