Wanajamvi, huyu mtu kwa jicho la tatu namuona anachosema ana uhakika nacho!kajitokeza na kwa hekima na busara, mwenye kujiamini amesema yuko tayari kwa lolote dowans isilipwe na kasisitioza ni...
TANZIA YA KIFO KWENYE UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA IGUNGA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Kichama wa Kinondoni Kanda Maalumu Dar es salaam kinasikitika...
Jamani wana jamii naomba kuwasilisha tena kwamba hapa kwetu mbeya city hakuna matangazo ya clouds fm na radio one kwa muda sana sasa , na hakuna sababu yoyote ile mpaka leo na unajua inasumbua...
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
SINEMA imefika patamu, serikali imepanga kuwaonesha waandishi wa habari mkanda wa video wa mtandao haramu wa viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara ya...
Kinachonikera, ukituma text/sms wanaleta ujumbe wao ule unaosema umebakiza sms ngapi... Mimi naona bora watafute njia nyingine ya kumwonyesha mtumiaji wa simu amebakiza sms ngapi kuliko iliyopo...
Kiwango cha pesa kilichowekwa na chuo kikuu cha dar es salaam kwa ajili ya kukodi majoho kwa ajili ya mahafali ambacho ni zaidi ya 45000; kimeonekana kuwa tatizo miongoni mwa wahitimu wengi. mpaka...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete amewataka watendaji wa Serikali yake kufanya uamuzi wa haraka kukabiliana na tatizo la umeme nchini akisema haoni kama kuna kasi...
Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ZAWISHO ZA HII enzi zimeanza kujitokeza!!!!
Mali iliyo kutwa ndani ya nyumba ya jambazi hilo,inasemekana alikuwa anawapiga watu nondo za kichwa kabla ya kupora mali
Na alikuwa ana vunja nyumba za watu
Source,franciagodwin.blogspot
habari. yaani barabara nyingi zimekuwa kama mito. mji una hali mbaya baada ya mvua kunyesha. mifereji ya mkoloni ndio zinazofanya kazi wakati zimeshachoka. barabara mbovu sijawahi kuona. naomba...
Baada ya juzi Waziri wa Fedha, Mustafar Mkulo kutangaza kuwa wizara yake haipo tayari kulipa deni kwa Dowans, kwa madai kwamba deni hilo linaihusu TANESCO, Jana TANESCO wameibuka na kusema kuwa...
Leo katika habari ITV nimemuona bwana mmoja akizungumzia mikakati ya shirika la nyumba la taifa NHC, nilishangaa aliposema shirika lake linafanya hayo linayoyafanya ili kutekeleza ilani ya CCM...
Sakata la kutoroshwa kwa wanyama kupitia kia limeishia wapi au hadi bunge lianze?walifikaje hadi wanapandishwa kwenye ndege?hivi usalama wa taifa kazi yao nini?polisi kazi yao nini?hiyo ndege...
hivi sasa kuna gari moja la abiria lisilo na route maalumu lipo huku External makuburi na abiria wake wote, baada ya abiria hao kugoma kushuka wakidai wanataka kupelekwa kwao.
Sakati hili...
I believe that Religion and politics are inseparable (covalent bond), they are two manifestations of the same phenomenon, two sides of the same coin. They are both sets of ideals and beliefs about...
Dar es Salaam - A city businessman dealer was gunned down on Thursday night, in what relatives suspect may have been contract killing.
Onesphory Kituly, 54, was pronounced dead at the Muhimbili...
Nimejaribu kujiuliza maswali mengi sana juu ya utofauti kati yetu WAAFRIKA NA WAZUNGU(yaani na white people)kama ilivyozoeleka na wengi.HAWA JAMAA UKIWACHUNGUZA UTAGUNDUA WANAONGOZA KWA VITU...
The word with the most letters is a name of protein, as a name, it technically does not qualify as a word, but at 1913 characters, we just had to include it. Theoretically these names can contain...
The following are names of first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons:
System coding problems.
Differing index numbers between TCU admission list...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.