Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.
NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA...
Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa,
maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
Kweli kumekucha
kama ulisikia kwenye clouds kiongozi mmoja wa nhc alipoulizwa hii ni starter akasema wameamua kuanza kwa wizara mama kwanza
ila akasema baada ya kusafisha anarudi kwa mama...
Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......
"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic...
Mwakyembe amepelekwa India leo mchana kwa ndege ya Qatar Airways kwa ajili ya matibabu ya kina akisindikizwa na Nelson Mwambalaswa mbunge wa Lupa, Chunya ambaye pia ni msemaji wa familia.
ITV...
Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo Aunty Lulu amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi
Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka...
SUMATRA (Surface and Marine Transport Regulatory Authority) iliyoanzishwa kwa sheria namba 9 ya mwaka 2001 kufanya majukumu ya uangilizi wa sekta ya usafirishaji. Mamlaka hii ilianzishwa kutimiza...
Kumekuwa na maneno mengi sana kutoka kwa wana Siasa na Viongozi wa Serikali kuwa dini ni chombo hatari sana katika jamii na kinaweza kusababisha umwagaji mkubwa wa damu katika nchi iwapo wahusika...
Ni muda mrefu sasa mtandao wa huduma za M pesa zinasumbua sana nchini unaweza kutaka kutoa pesa kwa wakala utaambiwa network hakuna, ukitaka kujua salio sms haitokei na ukutaka kununua muda wa...
Steve Paul Jobs, alizaliwa feb24,1955.akiwa na Umri wa Mwezi mmoja ALIASILIWA na Bwana Paul na Bi Clara Jobs,Steve hakuwahi kuwasiliana na wazazi wake maisha yake yote na hawajulikani walipo...
I have been a member of Jf since 2008.I remember when very constructive and educative threads were written.It was indeed very enjoyable time.When I switched on my computer, and occasionally...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na kushabihisha sana alama ya vidole viwili ya CDM na ile inayotumiwa na memba wa freemason.
Kuna haja ya kuweka wazi mahusiano haya kama yapo au la. Kazi kwenu...
wajumbe nimetoka kuangalia video ya maafa ya meli, ukweli nimeumia sana na wasiwasi wangu umeongezeka sana kuhusu ajali hizi zinazosababishwa na uzembe wa serikali kupitia mamlaka zake, hivi...
Wana JF, nina hakika wengi watakaosoma kisa hiki watadhani ni cha kutunga, lakini ni kisa cha kweli ambacho kilitokea kwenye miaka ya 80 hivi eneo la makorora mjini Tanga. Na kilimtokea mtu ambaye...
Wakubwa wana wa JF,Nilikua nafuatilia issue moja hapo TAKUKURU wiki chache zilizopita na kuna wakati nilizuiliwa kwenda hapokwa kisingizio kuna mkutano ullikua unaendelea hivyo hawaruhusu wageni...
Ndugu zangu napenda kuchukua nafasi hii kwa mtu yeyote aliye karibu na washauri wakuu wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania afikishe ujumbe wangu kwa wahusika. Kwanin nasema mama Maria agombee...
NGUZO ZA UMEME
Naombeni mnielimishe. Mbona ktk nchi za wenzetu mfano Japan na hata nchi kama za dunia ya tatu kama Sudan wanatumia nguzo za umeme za zege badala ya miti kama Tanzania...
Fake drugs nightmare
Saturday, 08 October 2011 22:47
By Songa wa Songa
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam.
Authorities have voiced their concern over the entry into the...
Kona ya Karugendo kwenye Gazeti la Raia Mwema 'Tujadili suala la Ushoga,linajadilika'
Nimesoma makala ya Padri wa zamani Privatus Karugendo yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu,nimesoma kwa...
kwa muda wa miezi 6 iliyopita nimekua katika harakati za kukusanya coins za shilingi moja za kitanzania na kufanikiwa kupata jumla ya shilingi mia mbili,niliamua kwenda dukani kununulia sabuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.