Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
BANDUGUz, sio siri; KWA HILI LA IPP, NIMEVUMILIAAA NA SASA NIMESHINDWA.......NAPASUA JIPU! Nahisi kitu chenyewe ni kama hakina msingi, lakini kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikijiuliza bila...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mch.Josephat Gwajima aliejizolea Umaarufu wa kupambana na Nguvu za kichawi kwa Jina Yesu,Nikuombe Sasa ukiwa Mjumbe wa Mungu,Ukamfanyie Maombi DKT HARISON MWAKYEMBE taifa bado linamuhitaji,Mungu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa kuna mambo mengi yanaumiza vichwa. Mlio karibu na Wizara ya Elimu hebu nidokezeni: hivi ajira kwa WAALIMU wa Diploma na Grade "A" waliofanya mtihani may mwaka huu na matokeo kutoka mwezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu leo sikuwa busy sana na hivyo nikaona ni fursa muafaka kukaa na my wife kuangalia taarifa ya habari. Kuna mambo mawili yamenishtua kidogo na nikawa najiuliza lengo hasa la taarifa ya habari...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni mtangazaji wa itv.sembei yeye huwa anatangaza taarifa za habari kila weekend lakini tatizo lake ni hali yake ya kukosea kosea kila mara.ni mda mrefu anatangaza habari lakini anakua kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
We'll cut your aid if you persecute gays, Britain warns African nations Last updated at 11:44 PM on 8th October 2011 Poor African countries which persecute homosexuals will have their aid...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa sasa serikali imeshadadia sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanzania. ninachojua na wanachojua wote mnaosoma hii thread ni kuwa, Tanzania ni muungano wanchi mbili ambazo ni Tanganyika na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo asubuhi toka ninatoke home Kibamba kwa Mkurya nimehesabu mabango ya Mganga wa jadi kutoka Sumbawanga hadi Ubungo kwenye mata yapata 19 ,Ni mabango tofauti yako kando ya...
2 Reactions
32 Replies
27K Views
Hbr Wana jf,Leo naomba kuwageukia wakusanyaji Wa Ushuru wa 200 pale getini una manufaa gan kwa watumiaji wa Stand hyo. Watu wanalipa ushuru kila leo lakini Panazidi kuwa pachafu,Wizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada JFs, Gari yangu imeharibika starter, naomba mwenye kujua gharama na wapi zinapatikana anijuze kabla sijamwachia hela fundi akanipiga cha juu, au yeyote mwenye contacts za wenye maduka ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCRA: mpaka sasa VODACOM ina wateja milioni10, AIRTEL mil5.9, tigo mil4.6, ZANTE mil1.3, TTCL lak2 na 26, SASATEL 8,498,BENSON 2074.
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Kuna tangazo moja nimekuwa nikiliona kwenye TV ambalo linamuonesha rais Kikwete akiwasisitiza wananchi ili wanaponunua vitu waombe risiti ili kutoinyima serikali mapato. Tangazo hilo pia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naupenda sana huu wimbo wana J.F, Hapa ameuimba Dada Darlene Zschech akiwa na kundi kubwa la Hillsong. Mbarikiwe Sana. All Things Are Possible lyrics Songwriters: Zschech, Darlene; Almighty...
1 Reactions
0 Replies
980 Views
Naona matatizo tuliyonayo sasa baada ya miaka 50 ya uhuru hayaendani na kauri mbiu ya kushehekea maadhimisho ya miaka 50 inayo sema tumedhubutu, tumeweza tusonge mbele. Kwakuwa tunarudi nyuma...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamii najua ninyi ni watu wema mnaweza kunipa mchango wa mawazo...nina kawaida ya kupokea telegraphic transfers kutoka nchi za ulaya kuingia kwenye account yangu...toka alhamisi iliyopita...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mida hii basi la Abood liendalo Mbeya limepata ajali mbaya katika eneo la Makambako mkoani Iringa. Basi hilo likiwa katika mwendo kasi limegonga kundi la ng'ombe waliokuwa wakivuka barabara nje...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama siamini ninachokiona kwa macho yangu dk hii,yani kuna mnada kama ile ya majembe aksheni mati inayofanyikaga maeneo ya stende au sehemu za wazi, laki leo huu unafanyika ndani ya bot kwenye...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajf mniwie radhi kama nitakuwa nimekosea kuuliza swali hili, je mbona sijapata kuona jukwaa la afya? Kwani naamin kuwa afya zetu pia ni muhim. "angalizo; usinikebehi,unitukane au kunikejeli...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mwanzo mlisema hela ya kukodi joho ni tsh. 42,000 { sijajua mmetumia vigezo gani}, kabla ya hili halijaisha wamekuja na sh. 5000 ambayo hawakuisema mwanzon, wanadai ya mhur na TRA. Hivi kuvaa joho...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MWANAFUNZI wa Kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Mwapachu iliyoko Kata ya Tangasisi jijini Tanga amekufa baada ya kujinyonga usiku kwa kutumia kamba ya manila. Mwanafunzi huyo ambaye...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom