ITV wametuonyesha jinsi wizara nyeti ya serikali yetu ikifukuzwa na kutolewa nje ya ofisi walizopanga toka kwa NHC kwa kushindwa kulipa pango la mil 30,cha kushangaza television yetu ya taifa...
Dailymotion - BBC Inside Sport - Poland football Racism special report 07. - a Sports & Extreme video
FEATURE : African immigrants face racism in Poland ‘WE VARSOVIANS' People of African...
Kuna taarifa kuwa muda huu kuna mapambano kati ya polisi na wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu. Jamaa mmoja amekuwa mjanja na kupata licence kwenye eneo lililokuwa linachimbwa na hao small scale...
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius...
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
Wenyeji wanne Mkoani Manyara wilaya ya simanjiro wamepoteza maisha juzi ktk juhudi ya kufunga pampu ya maji ktk shimo walilolichimba ili kujinusuru na ukame unaoikabili maeneo hayo. Ktk hao...
PRESS RELEASE
Dear Alumni, Staff and Friends of the University of Dar es Salaam,
Re: Alumni, Staff (Former & Current) and Friends Dinner Hosted by H.E. the President of the United Republic of...
Kutoka mwanahalisi:
Mtandao wa WLeaks umefichua habari kuwa Balozi wa USA nchini Z'bwe-Charles Ray alipata kudokezwa na balozi Adadi kuwa rais Mugabe na chama chake kimeshindwa kuiongoza nchi...
UKipitia website Voting Trends | New7Wonders of Nature rank ya mlima Kilimanjaro inashuka katika kuingia kwenye maajabu saba ya dunia, ipigie nchi ya kura.
Wana JF, jana nililazimika kwenda kigamboni kupitia ferry kwa kutumia moja ya kivuko kipya. Ni kikubwa na kinachukua watu wengi pamoja na magari. Wakati tunavuka nilkumbuka ajali ya meli iliyozama...
Kuna mzungu mmoja namjua kwa jina la Mark anamiliki hekari mia kadhaa za ardhi mitaa ya kijiji cha Ifunda.Kwa kifupi huyu bwana anawanyanyasa sana wanakijiji wanaoishi maeneo yanayozunguka...
Ni aibu iliyoje! Mrembo mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, alikatikiwa mshipa wa aibu na kuvua nguo katikati ya sherehe...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 6-day Intensive program geared toward developing knowledge and practical skills necessary to perform ICT Audit, Risk Management and...
Habari members, Nipo nchini South Africa mahali nimekutana na watu mbalimbali kutoka nchi tofauti tofauti za Dunia, katika mazungumzo ya hapa na pale nimegundua watu wanajua mt. kilimanjaro ipo...
Yale makomondoo yaliingizwa na cdm kule Igunga bado yapo nchini? Au ndo siasa za magamba kuwahadaa wananchi ili wasijitokeze kwa wingi kupiga kura? Polisi wameshindwa kuyakamata da ama kweli cdm...
Leo Rais Kikwete ameagiza Secretariet ya Maadili iangalie pia viongozi wa umma wanaotumia nafasi zao kujilimbikizia mali. Viongozi wa Vyuo vya Elimu ya juu na vyuo vya kawaida wanatumia nafasi...
Tanganyika ilipata uhuru wake 9.12. 1961
Zanzibar ikapata uhuru wake January 1964
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar April 1964.....
Kwa uchunguzi wangu wataalamu wa historia wanasema baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.