Ni siku chache zimepita tangu uchaguzi wa igunga umalizike ambapo ccm ilitangazwa kuwa mshindi wa kinyang,anyilo hicho huyu jamaa alionekana akigawa sana hela na ndipo nikajiuliza je huyu ndio mtu...
Kuna haja ofisi ya CAG kuwa na wajibu
kuwa na register kujua wabunge walizitumia ofisi zao wilayani na mkoni kwa siku ngapi katika mwaka
Ukioadoa wale wabunge wa mijini na Dar Hivi...
Unazungumziaje kuporomoka kwa CCM Igunga na kupanda kwa upinzani, hususan CDM huko Igunga, achilia mbali Tanzania kwa ujumla. Tuache blahblah, tujadili ukweli
Ukimchukia mtu kwa mapungufu yake, usingependa kuona anapata hata sifa kidogo kwani katika siasa mafanikio kidogo ya mtu ni kona ya maficho kujisahaulisha na ubaya wa utendaji wa mwanasiasa...
Jamani nadhani tunakosea sana kuua dhaana halisi ya maadhimisho ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru. Utakuta kuongozi wa ngazi ya juu anautoa matamko yasiyo sahihi kuwa eti mwaka huu tutaadhimisha...
Waua ndugu wao wakimtuhumu kwa uchawi
POLISI mkoani Rukwa, wanawashikilia watu sita wa familia moja, katika Kijiji cha Kalumbaleza, wilayani Sumbawanga, kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga kwa...
Hii ni hari ya kusikitisha ndani ya nchi baada ya kuona chama tawala ambacho kimekuweko tangu enzi kinatumia kiasi kikubwa ambacho kingeweza kutumiwa siku za nyuma na kuwaletea wana igunga...
Wanajamii,
Kuna jamaa kaja ofisini asubuhi hii kuorodhesha watu wanaohitaji stika za usalama barabarani. Ukihitaji unaandikisha jina lako na kumpatia Tshs. 5000/ = then yeye anakuletea...
Juzi nimefurahi na kusikitika, hii ni baada ya TBC1 kutangaza kuwa mara baada ya taarifa ya habari Rais atahutubia taifa kufuatana na utaratibu wake wa "kuhutubia Taifa kila mwezi". Nilianza...
Nimetembelea miji mingi ya tanzania lakini watu wake wana tabia ya Kuenzi uchafu.Dar-es-Salaam mtu mtanashati anaendesha gari anakunywa maji anatupa chupa barabarani.Mtu haoni aibu anatupa...
Habari wadau,
Mchkato ndo huo! umeanza tar 4 October hadi tar 5 November. Ni rahisi sana, unachotakiwa ni kujaza form tu naku submit then unasubiria.KITU CHA KUZINGATIA NI KWENYE...
Nawashauri ndugu zangu wa CDM waizoee nafasi yao ya kuwa wapinzani, kwani ndiyo inayowafaa. Hawatafanya vizuri wakiwa watawala, sababu ni kwamba hawaoni mazuri ya wenzao na siyo wavumilivu, kwa...
Mambo mengine wanayofanya ccm ni ya unyanyasaji na dharau kwa Watanzania, haiwezekani ushindi uwe kwa jimbo la Igunga wao wafanye sherehe Kila kona ya nchi. Kusherekea si kosa japo hakuna ulazima...
Habari zenu wana JF,
Hivi naomba tusaidiane hili jambo, limenikera sana mpk sasa nimejiuliza kisa cha kufanya hivyo sijajua .
Wakati wengine wanalia ajira maisha ,magumu mbona wengine kama vile...
KITENDO TULICHOKILAANI KUTENDEWA MKUU WA WILAYA IGUNGA CHAJIRUDIA TENA, NANI WA KULAUMIWA.
Mwanamke mmoja jana aliyesadikiwa ni mwanachama wa CHADEMA alibebwa mzobe mzobe na Askari wa...
Ninayo hesabu ya uhakika kwa wanaozihitaji nyumba za NHC - Posta.
Pango kwa mwezi ni Tshs. 350,000.00
VAT 18% = 63,000.00
Huduma za maji (yenye chumvi kibao),ulinzi, nk. approx 200,000.00
maegesho...
Ndugu zangu wana JF, juzi nilipatwa na tatizo la kuuguliwa na mtoto wangu mchanga wa miezi sita. Ugonjwa unaomsumbua hadi saa ni kuharisha na kutapika. Siku hiyo mtoto alikumbwa na tatizo kuanzia...
Natamani siku Moja wan CCM watoe hatuba kama hii.
President Rupiah Banda
I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS OVER. THE PEOPLE OF ZAMBIA HAVE...
Hiyo system yao waliyoianzisha ya vifurush vya channel 35 na channel 45 mbona siyo?,eti ukitaka channel 35 ulipe 9000 ukitaka ya 45 ulipe 18000 kwa mwezi,channel 10 tu wameweka hela hiyo kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.