Yaani nimeamini kama una ugomvi wa kibiashara na mfanyabiashara mwenzako ,mbinu ambayo itakurahisishia mkakati huo ni kusema kuwa bidhaa hiyo ina punguza nguvu za kiume! na watu wakaamini hivyo...
Huu ni ushahidi tosha ya kuwa chadema inaeleke kufa kama sio kupotea katika siasa za Tanzania
ilianza 2010 wakawa wanapata wafuasi wengi lakini hawapigi kula Dr Slaa akaanguka Vibaya
Na sasa...
Kila ninapotizama chaguzi zinazofanyika hasa katika nchi za kiafrika,nahisi kupoteza maana ya demokrasia.
Kama hii ndiyo tafsiri yake basi kama kuna kitu cha kuogopa kukisogelea ni hiyo...
Yaani hii nchi sijui kuna nini cha kujivunia labda ubadhirifu wa fedha.Toka jana mchana wateja wote tunaotumia huduma za internet hatuna huduma .Pa nimeambiwa hata maofisi yao hayana huduma...
Important Notice: DV 2013 Program - The online registration period for the 2013 Diversity Visa Program (DV-2013) will begin on Tuesday, October 4, 2011, at noon, Eastern Daylight Time (EDT)...
Uvivu na kutopenda kujituma ni hali ambayo imeonekana ikileta ugumu kwa vijana wengi wa Tanzania kuleta ushindani wa soko huru la Afrika mashariki lilifunguliwa mnamo mwezi juni mwaka 2011 ili...
Jambo moja ambalo wengi hamlijui ni kwamba, takriban asilimia tisini ya Watanzania wamejikuta tu wakiwa ni wafuasi wa dini hizi za mapokeo yaani Uislamu au Ukristo sio kwa utashi wao, bali kwa...
baada ya utaratibu mpya wa Mod team wa kupitia thread, niliamua kiasi kikubwa kubakia mtazamaji lakini hili limenikera kama Mtanzania kiasi kwamba ninatamani kujua job description ya Jeshi la...
We are not yet a nation just a group of people living together, until we become one in spirit and purpose then we can call ourselves a nation then we will be invicible and the nations will fear...
Ndugu zangu wa 'magwanda' wanajua sana kushangilia ushindi kabla mchezo haujesha. Utakuta mashabiki wa asernal timu yao iko mbele kipindi cha kwanza kwa 3-0, wanashangilia sana tu. Maskini kipindi...
Kuna baadhi ya watu au vyombo hapo mbeleni tunapoenda tutakuja kuelezena vizuri kwa michango yao katika hii nchi, mfano gazeti la uhuru-ccm kidedea igunga!nape mnauye-ccm yashinda igunga hadi...
When young folks see these kind of signs the immediately copy and do the same without knowing the true meaning for them.#
These are satanic symbols these artists use to glorify satan(lucifer)
BE...
Tofauti ya kipato kati ya matajiri na masikini ni kubwa mno.
Watu wa daraja la chini hawana tumaini na wamekata tamaa ya maisha.
Hii ni hatari sana kwa mustakanali wa taifa...
wakati tunasubiri matokeo ya ubunge IGUNGA kuna maeneo tofauti tofauti nchini kulikua na uchaguzi wa udiwani ambapo chadema imeibuka kidedea kata nyingi kwa kupata udiwani, CDM WAMEKUA WAKOMBOZI...
Ndugu Wana JF hapa Dar es Salaam mbona hakuna supply wa Cable kama Mikoani. Mfano Dodoma, Iringa, Tabora, Arusha na Mwanza wanaona mpira wa England kupitia channel hizi ABU DHABI(AD SPORTS...
CONSUMERS of beans treated with poisonous pesticides like actellic for preservation will stop running the risk of related health complications, thanks to experts at Sokoine University of...
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.