Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tukiwa bado na majonzi ya ndugu zetu waliopoteza maisha huko Nungwi - Zanzibar kwa kuzama kwa meli. Kiasi kikubwa ukiwa ni uzembe wa serikali. Nimepita kwenye Mto Kilombero hali ni mbaya sana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimesoma kwa makini hoja za bwana Mallya mwenye kujinasibu kuwa yeye ni kada wa ccm na sio chadema kama navyonasibishwa. Ukisoma maelezo yake na ukibahatika kutembelea facebook page yake utagundua...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kampuni ya usafirishaji ya Sumry imeifanyia Sumatra Mchezo wa kuigiza nakufanikiwa baada ya kusajiri magari manne ya injini nyuma kwa jina la Kampuni nyingine ya MBEYA express ambayo hufanya...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Katika historia ya dunia nimesikia kwa mara ya kwanza kwamba mtu alitaka kubakwa hadharani mbele ya watendaji Wa kata makatibi kata mabalozi Wa nyumba kumi, katika hili je ni kweli au DC...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Majuzi tu tumeshuhudia mamia ya watu kupoteza maisha yao kule Zanzibar na Kenya. Mungu awarehemu waliofariki na awafariji sana wafiwa. Poleni sana Wiki chache zilizopita tulishuhudia dhoruba kubwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kinondoni barabara kuu zamani bagamoyo kuna aparments maarufu hapa jijini,kuna mzungu anaishi kwenye zile aparments mzungu huyu anatuharibia vijana kwa offer za vitubia hufanya ukarimu mkubwa( bia...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe. NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Ni hivi karibuni serekali yetu imekiri kwamba wazamiaji wa kukodi kutoka Afrika Kusini wameshindwa kuifikia Meli iliyozama baharini na kusababisha vifo vya ndg zetu huko Zanzibar...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilianza Mv. Mbeya, tukaziba masikio. Ikaja Mv. Bukoba tukafumba macho. Sasa limetukuta la Spice Islander. Tunatafuta mchawi, tumeacha kuziba ufa ili majanga yasitokee tena. Kuna baadhi ya watu...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Tanzania tunaweza, kwani km kuna web-directory iitwayo tanzaniakwetu.com ,Website za tz zinapatikana hapo. Pia kuna iitwayo jigambeads.com hii ni kwa ajili ya kutangaza matangazo. Tz tunaelekea...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna thread nikifungua napata jibu: bijou, you do not have permission to access this page. This could be:- 1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mlevi ni mtu wa ajabu sana! Ana uwezo wa kuona,kusikia na kuzungumza. Ulevi upo katika namna nyingi na madhara makubwa ya ulevi ni kupoteza kumbukumbu kwa urhisi.Ni afadhari ulevi wa pombe kuliko...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Vilio vyatanda kwenye wodi ya wazazi kutoka kwa watoto wachanga na maneno ya kashfa kwenye wodi nyingine zenye watu wazima hapa hospitalini kwa viongozi na serikali ya Kikwete baada ya nishati ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
JAMANI TANGU NIANZE KUONA NA KUSIKIA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, HUYU JAMAA MWISHO WA MAMBO, KWANZA NILISHUDIA UZINDUZI WA ALBUM YAKE DIOMOND JUBILEE MPAKA SAA TISA UKUMBI ULIKUWA UMEJAA KABISA...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Uhamisho wa watendaji ngazi za juu kwenye Serikali za mitaa nchini ama halmashauri za wilaya umeanza kwa wahusika kupewa barua zao tangu alhamisi wiki jana. Tayari watu wameanza kuumwa na wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF Naomba mnipe ushauri make nisije nikaingia choo cha kike. Nimebahatika kupata shule marekani nasoma masomo ya level ya masters na nategemea kumaliza mwakani inshallah Mungu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimepigiwa simu muda si mrefu kuwa wiki moja baada ya ajali ya meli ya Mv Spice maeneo ya Nungwi Zanzibar vifaa vingi kutoka katika ajali hiyo vimewasili katika fukwe za ukanda wa Tanga.Baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi nini maana ya kuwepo na 24Hrs service kwenye hospital na wakati mida ya usiku kuna kuwa na poor customer care level, Nilienda juzi mida ya saa tano usiku nilimpeleka mgonjwa hospitali ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=HmT8EZJ6hOk&feature=related http://www.youtube.com/watch?v=516yws-7pTc&feature=related http://www.youtube.com/watch?v=VB5hqoGNwPk&feature=related]Vita vya Kagera...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom