Wadau nimeona si vibaya kuweka hizi namba hapa, ili kila mmoja atakaependa aweze kuzisave kwenye simu yake kwa ajili ya dharura. Namba hizi ni za jeshi la polisi wa usalama barabarani.
Kutokana...
Nimeshtushwa sana na taarifa kuwa serikali haimjui mmiliki wa meli ya M,V Spice Islander ambayo imepata ajali hivi karibuni.......akizungumza na waandishi wa habari waziri Mohamed Aboud...
Kama kawaida, vyombo vya dola vikiongozwa na polisi huko Geita vimeripotiwa kumuua mtu mmoja na kuwajarehi wengine kwa risasi za moto wakati raia hao wa kata moja ya Geita kuandamana kwa amani...
Meli iliongezewa urefu kienyeji ;inamilikiwa na kiongozi mmoja wa juu kisiasa visiwani; chanzo cha SUMATRA kupigwa vita visiwani ni ubovu wa meli nyingi huku; baadhi ya makapteni wa meli...
Namba za mabaharia wawili wa muda mrefu wa hii meli hizi hapa.
+255773467746 na +255777899987.
Huyu wa pili ni shujaa kati ya mabaharia kwani ndiye aliyepiga simu akiwa juu ya mlingoti wa meli...
Toleo la leo 'Mwananchi' kuna habari wameandika, 'Kigogo wa CCM mbaroni kwa tuhuma za mauaji ' lakini hawakumtaja jina, wanaogopa nini? Mbona gazeti la wenyewe wenye nchi wamemtaja? The Daily...
Wana JF, kutokana na ajali za kila siku za mabasi ya safari ndefu na dala dala mijini na hii ya meli zanzibara ninaomba nitoe hoja ifuatayo:
SUMATRA ambao ni wenye jukumu la kusajili kutoa leseni...
Huko Tengeru Arusha, Binti mmoja wa miaka 33 amemuua baba yake na kumcharanga kwa panga na shoka vipandevipande kisha akamdumbukiza katika choo cha shimo siku ya Jumapili iliyopita. Alifikia...
Jamani nimeshitusha na habari zilizoko kwenye gazeti la Mwanahalisi la leo kuwa wauaji watarajiwa wa Dr Mwakyembe walisafirishwa na magari ya polisi, Vodacom, Caspian na serikali???
Jamani ina...
waheshimiwa Salaam.
Nilifika TRA kujiandikisha ili nipewe TIN kwa kupata Driving Licence mpya...nikaambiwa ni bure na ndani ya siku 7 naipata.
Lakini tangu Mwezi wa sita nilikua nasumbuliwa...
Wanajamvi nimasikitiko yangu kwa nchi yetu hii ya TANZANIA kutokuwa na hata "kanyambizi kadogo tu!" hivi kweli nchi yetu hii inaulinzi gani madhubuti kiasi cha kujiamiki kutokuwa na nyambizi kwa...
I wonder what real this motorcycle from china known as Toyo real is.why do they kill people,accident caused by TOYO have exceeding the normal rate,now when u go to the hospital u find a wod of...
Nimekuwa nikijiuliza kila mara niingiapo UBT (Ubungo Bus Terminal) alfajiri hadi saa 1 hivi asubuhi na kukuta msongamano mkubwa wa Mabasi yaendayo mikoani, magari madogo ya wasindikizaji, Taxi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI13 / 09 / 2011
YAH: KUOMBA RADHI *KWA NDUGU ZETU WALIOPATWA NA MAAFA YA AJALI YA MELI HUKO ZANZIBAR
Usiku wa kuamkia Jumamosi ya tarehe 10 / 09 2011 tukio kubwa na...
Hodi jamvini
Kwangu mimi hili jambo linanikera sana. hasa kwa wastaafu wa serikali na mashirika ya umma. wengi wanaopata mikataba hii ni wale wenye vyeo vikubwa. kwa hiyo wanazuia ajira mpya...
Samahani,ashakumu si matusi. Vyombo vya Dola,hususani polisi,hulaumiwa kila siku kwa lawama zile zile. Je unajua ni kwa nini? Ngoja uelewe. Methodology inayotumika kuwa-train...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.