Ndg zangu wanajamii nisaidie kwa hili la mgawo wa umeme na bili isibadilika. Kabla ya mgawo matumizi yangu nyumbani ni unit 85-100, cha kushangaza mgawo ulipoanza rasmi ambao hadi siku mbili...
Fundi wa Tanesco apigwa shoti ya Umeme akiwa JUU YA NGUZO ENEO LA COTEX AFRICANA...............HAKIKA HII NI AJALI MBAYA AMBAYO IMEPATA KUSHUHUDIWA.
Alikuwa kakaa juu ya nguzo za Umeme eneo la...
Hivi TRA ni taasisi ya kukusanya kodi au kutuibia na kutukamua siye masikini tunaonunua mikweche iliyotumika Japan.haiwezekani mtu umenunua mkweche wako hadi unafika nchini kwa milioni tatu then...
Miaka mitano ni michache sana kwa mwanadamu, ni umri ambao mtoto kama atakuwa ameenda vyema basi atakuwa chekechea ambapo atatarajia kukaa ama mwaka au miaka miwili kabla ya kwenda shule ya...
Kweli inakera saaaaaaaaaaaana kwani tunaishi maisha ya kubahatisha. Huwezi kuplan kitu chochote kila kwasababu haujui nishati ya umeme inapatikanaje.
Kama Arusha imekuwa ni upumbavu mtupu. Kwa...
Hakuna umeme mkoa wote wa Mwanza hivi navoandika. Tangu wiki jana umeme umekuwa unakatika hovyo pasipo taarifa yeyote. Tanesco twambieni kuna tatizo gaoi Mwanza?? Hii kuku inaitwa Ngeleja...
Wakati anatangaza habari za uboreshaji wa reli ya Tazara katika kutimiza miaka 35 tangu reli hiyo ianze kazi, mtangazaji wa Ch 10 Mcharo Mrutu alimtaja Rais wa zamani wa Zambia -- Kenneth Kaunda...
Ni muda mrefu kumekuwa na matatizo ya umeme nchini tanznia.swali ni sheria zipi zinazoliongoza shirika hili?.kumekuwepo na malalamiko tokea miaka mingi sana kuhusu uharibifu na hasara watu...
Wakati mwaka jana dec nilipata tin bure naambiwa leo watu wanauziwa tena na wafanyakazi wa tra nawakiona aibu wanatumia wale vishoka pale nje kwenye ofisi zao jamaani hasa wakati huu wa license je...
Naaam
Kwanza tujipe pole pole watanzania wote kwa msiba na wa ajali ya meli na zaidi kwa wale walioguswa moja kwa moja kwa kupoteza na ndugu , jamaa na marafiki .
kama kawaida sisi...
Ukifungua www.mwanza.go.tz utakumbana hii message
If you are the Administrator of this website, Please contact the billing section (+255 658 680751) for payment settlement as soon as...
Naomba kutumia jukwaa hili kufikisha mawazo yangu kwa watanzania ili pamoja na mambo mengine tuangalia njia za kuchukua kuondokana na ukandamizaji unaofanywa na makampuni ya simu za mkononi ambayo...
mimi ni mkazi wa Arusha naishi Suye ninayefanya kazi Dsm na naishi Ubungo karibu na stand ya mkoa. Nikiwa Dar umeme kwa wiki ulikuwa unakatika mara mbili au tatu kwa wiki lakini kwa Arusha hii ni...
Mimi ni mtanzania na kwa haki yangu yakikatiba kama ilivy hainishwa ktk kifungu cha18 ninao uhuru wakutoa mawazo hata pasipo kumtusi mtu. Mh Rais wa jamuhur ya muungano wa Tanzania tumesikia meng...
Waziri wa miundo mbinu amesema yeye ana mamlaka ya kuunda tume,lakini pia amesema kuwa japo watu wamekufa lakini na mwenye meli nae amepata hasara maana suala la kuzama meli si dogo...
Nipo kahama katika banda la maonyesho la kampuni ya uchimbaji madini barrick gold mine. Nimeona banda jinsi lilivyopendeza picha nyingi za mitambo inayotumiwa kuchimbia dhahabu,wahudumu wengi...
Kwa kweli nchi yetu inateketea siku hadi siku kwa kuwa serikali yetu imejaa watawala badala ya viongozi, coz watawala hujiwaza wao na manufaa yao tu na ndio watu waliojaa madarakani serikalini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.