Sakata la TBC Kuonyesha muziki wa Taarab na Vodacom miss Tanzania kufanyika wakat Taifa likiwa limegubikwa na Janga / Msiba mkubwa wa kitaifa limechukua sura mpya baada ya waziri wa habari na...
..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.
..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.
..kwanini hakuna...
Kuna habari kuwa wakuu wote wa mikoa nchini wameitwa ikulu Dar es Salaam. Taarifa ya kuitwa kwa ma-RC hao zinasema kuwa ni kutaka kukutana na mkuu wa magamba ili kutathmini mwenendo wa sirikali...
Samahani pengine hii imeshakuwepo humu ndani ya JF ila mimi nimepokea sms tano sasa kuhusu
kuvaa nguo nyeusi mnamo tarehe 3 wa 10 mwaka huu.
SMS inasema kuwa ni kupinga au kuiambia serikali...
Amani iwe nanyi,
Nimepokea habari za msiba wa Mzee wetu Abisae Stephen aliyekuwa mtangazaji mkongwe sana na mwandamizi wa Radio Tanzania.
Nimeelezewa amefariki dunia Juzi hospitali akiwa...
Zunguka jijini Dar es salaam, utagundua kuwa kuna maeneo Reli inakutana
na Barabara na bado maeneo hayo hayana tahadhari yoyote kama maeneo
mengine. Hakuna mtu anayesimama na bendera kama...
Katika hali ya kuonyesha kutokujali maisha ya binadamu mara zote Serikali haichukua hatua za kinga zaidi sana matamko hutolewa majanga yanapokuwa yametokea.Sehemu nyingi...
Ndugu zangu,
NCHI yetu imekumbwa na msiba mkubwa, ni maafa. Ni ajali ya meli ya MV. Spice Islanders iliyotokea juma la jana kule pwani ya Nungwi, Zanzibar.
Na swali ni je; mwanadamu...
Hata katika majonzi wanaleta siasa.......hawa wako Jiddah bado wanafanya kampeni za 2010
POLE KUTOKA UMOJA WA TANZANIA, JEDDAH, SAUDI ARABIABISMILLAHI RAHMANI RAHIMKWA NIABA YA TANZANIA WELFARE...
Wadau wa JF wamepania kuvuna chochote by any means... aminia, juu kuna Airtel, chini kuna TIGO. Wapi umeona Coca Cola na Pepsi wana-sponsor entity/kampuni moja at the same time?
Labda Vodacom...
Wizi mpya umeibuka jijini Dar.
Wezi wanaigia na kupaki karibu sana na gari lako na kuchungulia umeacha nini garini.
Kama umeacha laptop umekwisha!!
Wanachukua "spray ya kichina" ambayo inapuliziwa...
serikali inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vinavyotokana na ajali za usafiri wa vyombo vya majini endapo itaanzisha utaratibu wa kulazimisha vyombo vyote vya usafiri wa majini viwe na life...
Tarehe 01 july 2011 ilifanyika sherehe ya miamba ya mitihani ya kidato cha sita 2011 miamba hiyo iliingia mjengoni dodoma na baadae jioni kwenye hafla kupewa zawadi kila mmoja laptop na fedha...
Sitaki kusema sana
naamini wa precison mnajua hii ndege iliko na inafanya nini??
Je mpaka mnaleta ndege inakaa tanzania wiki mnapeleka nairobi kwa matengenezo
hamuoni kuna mushkeli na baadhi ya...
Hivi wanajamii kunaulazima wakuchangia life jacket kwaajili ya usafiri wa majini? Mimi nahisi kuibiwa, kwani hilo nijukumu na wajibu wa hao wenye vyombo hivyo kununua vifaa husika vya usalama.
I JUST QUOTE SOME WORDS FROM LYRICS OF THE SONG CALLED ''I PRAY'' BY JUSTIN BIEBER.
I just cant sleep tonight.
Knowing that things aint right.
Its in the papers, its on the tv, its everywhere that...
Hili ni basi la abiria la Raha Leo lenye namba za usajili T431 ARM linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaalam na Tanga likiwa limesheheni abiria mpaka mlangoni leo wakati likielekea Dar Es...
katika hali isiyo vumilika mji wa Arusha umekuwa ikubwa na upasukaji/kuziba kwa mabomba ya maji machafu( mavi) na kusababisha kero kubwa kwa wakazi wa Arusha na mbaya zaidi kila linapotokea tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.