Shalom wote muitakiao nchi hii amani,nakumbuka mwisho wa mwezi wa 8 niliuliza juu ya uchaguzi wa shirikisho la vyama vyama vya wafanyakazi Tanzania lenye wanachama 500,000 na vyama vyenye...
Natoa pole sana kwa watanzania kwa msiba mkubwa wa ajali ya meli, ila katika hili naomba wadau mnijuze hivi huyu makamu wa kwanza kazi zake ni zipi maana namwona mara nyingi makamu wa pili ndio...
Mh Anna Tibaijuka anajenga nyumba ya kuishi Makongo juu ndani ya Hifadhi ya Barabara.Ni vema sasa ikajulikana nini hatma ya nguvu ambayo mama huyu amekuja nayo kwenye wizara hii.Tuwaelewe vipi hawa?
Mawaziri wa JK wagongana
Kushtakiwa mahakama ya kimataifa
na Mwandishi wetu
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Kikwete wametoa kauli za kupingana kuhusiana na sakata la sheria...
Kila kukicha kuna post hapa JF zaidi ya tano (5) ambazo zimeja lawama, kero, masikitiko, n.k
Leo ningependa tuzungumuzie vitu, sehemu, watu au mambo ambao yanatupa hope cc kama wananchi au nchi...
Kuna kipindi nilisikia kwamba majengo ya hostel pale Main campus {hall 2 & 5} kuwa hayafai kukaliwa na watu. Nakumbuka kuna wanaharakati waliliongelea hili lakin hakuna aliyewasikia. Na cha...
wajameni, huku kuhama kwa mawasiliano ya simu na hususan Televisheni from ANALOG TO DIGITAL, Hamwoni kwamba vijana wengi watazidi kukosa AJIRA?? e.g. fundi dish, etc. :A S 20: Na pia low income...
ndugu zangu kama kuna mtu anaweza kusaidia walimu wa sec kupata barua za ajira wilayani temeke namuomba asaidie kwani tsd temeke hawafanyi kazi..hasa yule katibu wake bi SUBIRA...
Zanzibar's ferry disaster could have been preventedBy refusing to invest in an ageing fleet, Tanzania's government risks more tragedies like the sinking of the MV Spice Islander...
Hii ni Salon iliyo Sinza Afrika Sana ambayo wamama/wadada wengi waliitumia nyakati za harusi au kujiremba.
Imeungua alfajiri ya leo na vitu karibia vyote vimeteketea kwa moto.
Maduka jirani...
Kutokana na majanga yaliyojitokeza kwa upande wa ukanda huu wa East Africa nikimaanisha Kenya na Tanzania kutokana na majanga makubwa kuzikumba nchi hizi mbili, moja ni hili la meli kuzama huko...
..Ni kawaida yetu watz kulaumu na kutoa lawama/shutuma//pindi itokeapo Ajari.....baada ajari ya juzi huko znz..na baada ya kupitia habari tofauti tofauti..kuwa Mv Spice kuwa ni ya zamai..yaani...
Wana JF jana katiaka Mji wa Arusha kuna Gari lilikuwa linapita likitangaza kuwa ile kampuni iliyokuwa inakata nagai yaliyoegeshwa vibaya (kwa masharti na vigezo vyao) imeondolewa katika kazi hiyo...
THREE power generation companies have reiterated that 137 megawatts will be pumped into the national grid before the end of this month, to ease the current 300MW deficit the country is facing...
Wanawake lazima wabadilike,ukiamua kuwa na mtoto hakikisha unamnyonyesha mtoto mpaka umri husika unapofika wa kumuachisha,jaman watoto wanateseka hawawezi kuongea lakini wanateseka sana!
Wadau,
Tunaweza kupata updates za CHADEMA kupitia CHADEMA TV online.
Kwa mujibu wa Mh. R Mtenga (kwenye FB) uzinduzi rasmi bado.
Click hapa kuipata CHADEMA TV.
chadematv's Channel...
Kuna hitaji kubwa la damu hasa group O kwa majeruhi wa Gmboto. Fika kituo cha Muhimbili, ukonga mzambarauni, na msimbazi kuchangia. DONATE BLOOD SAVE LIVES.
Wadau, asubuhi hii kunamvuanyingi maeneo ya Kata za Pugu, Kitunda, Kipawa, Ukonga na gongolamboto, sijui maeneo ya katikati ya jiji yakoje. Natoa tahadhari kwa madereza wa magari kuwa waangarifu...
Huku Kitengo na Kamati za Maafa za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa bado wanajivuta na kuonyesha ambavyo bado hakuna mipango ya haraka kuwasadia waathiriwa wa majanga kama haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.