Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Shirika la kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania TANESCO limewadanganya wananchi kwakuwaambia mwezi wa tisa watapunguza mgao wa umeme lakini bado. Tanesco mwezi wa tano mwaka 2011 lilipunguza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dear Friends Can you all please give your opinion about Quality Group Limited of Dar Es Salaam. How big is this company? Where can I view the financials of this company? How good a company is...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kijana mdogo ...MWIGULU MCHEMBA,lakini kwa mfungamano wake na mafisadi ....ni dhahiri wana Iramba Magharibi tumepata mbunge ambaye ana kila dalili za kufuata nyayo za BOSI WAKE JK,Ni lazima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nmeskia hapa Tanzania suti ni zawadi nzuri sana hivyo nataka kumnunulia mtu suti 10 bila masharti lakini sijui bei, ndugu zangu nisaidieni nijue bei!
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Msanii aliyekuwa kundi la Wagosi wa Kaya ameeleza uhasama kati ya Ruge na Sugu, na suala la mipango ya awali hadi kuwepo studio ya muziki kwa wasanii wa tzz Msanii huyo waliowika na vibao vingi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana Askofu kilaini alitoa hotuba kali sana wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha waandishi wa Habari mkoani Kagera(KPC) Mjini Bukoba hii hapa,neno kwa neno MKUTANO MKUU WA KAGERA PRESS...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Je TFF haijali watu waliokufa zanzibar? TFF haina utaifa? Masikitiko yangu kwa TFF kama muendeshaji wa ligi ya "VODACOM LIGI" hakujali siku ya msiba wa kitaifa baada ya kuziruhusu timu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Aliyekuwa kamishina wa pollisi kamanda Abdalah Msika baada ya kustaafu sasa ni mkufunzi wa walinzi katika mgodi wa Barrick buzwagi kitengo cha ulinzi( Training security superintendent), hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKATI EWURA WAMETANGAZA BEI KUSHUKA KAMA WALIVYOONYESHA HAPO CHINI ASILIMIA 80 YS VITUO VYA MAFUTA WAMEGOMA KUSHUSHA BEI NA KUACHA KAMA ZAMANI ;;NDUGU ZANGU EWURA MNATUAMBIA NINI KWA HILI AMA...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali...
1 Reactions
285 Replies
25K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Bangladeshi ameukata uume wa mwanaume aliyejaribu kumbaka na kisha kukipeleka kipande cha uume wa mwanaume huyo polisi kama ushahidi. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa nawasalimu wote na kuwapa pole kwa mpigo katika kipindi hiki ambacho kwa uzembe tena Taifa linalazimika kuombolezea Maisha ya ndugu zetu huko Zanzibar, poleni na MUNGU awaerehemu. Amen...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mahojiano ya awali yaliyokuwa yakifanywa na kikosi kazi kinachoundwa na maofisa kutoka vyombo vitatu vya dola dhidi ya Mwanasheria na Mwanaharakati maarufu nchini, Kainerugaba Msemakweli, kuhusu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
inasemekana jengo la manesi muhimbili laungua. Chanzo times fm.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! Uwepo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kufuatia ajali ya meli iliyopoteza maisha ya watu zaidi ya 200 huko zanzibar, ni vyema vyama vya upinzania hapa nchini vikaanza kujenga utaratibu mbadala wa kuonyesha kuwajibika ambapo waziri...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wana Jf 10/09/2011 Jamhuri yetu ya Tanzania ili pata msiba mkubwa,lakini wakati msiba huo unatokea hata baada ya masaa 10 kupita bado TBC1 kituo cha Habari cha walipa kodi cha Taifa hakikuweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pongezi za dhati ziwafikie wana JF wote waliochukizwa na mwenendo wa unyanyasaji wa sisi staffs wa uba pamoja na JF yote kwa ujumla. Nilipost hapa jinsi ma boss hao walivyojihisi wako juu ya...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Na Freddy Macha YARABI, ni saa tisa usiku. Bado niko ndani ya kiberenge. Ndiyo tumeingia mtaa wa Finsbury Park. Kwa kawaida basi lisingepita njia hii ila barabara zimefungwa fungwa. Kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wakuu naomba ushauri wenu! Nina mahsiano ya kimapnz na huyu dada ya pata mie 9 sasa. Simjui ndg yake hata mmoja, wala hamjui ndg yang yeyote hata kw2 hakujui. Lakini ametokea kuniamini kpta kiac...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom