Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ilikuwa majira ya asubuhi wakati nipo nahangaika kurekebisha texture halftone dots kwenye computer ili kupata taswira sawia ya letters texture na picha nzuri kabla sija send kwenye image output...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa vurugu ya libya inamhusu nani zaidi kwani inaonekana gadafi ndio mwanzilishi wa vurugu but 2me i see in diferent ways
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku hizi kumezuka mtindo watu kugeuza simu wakati wa kuongea. Badala ya kusikilizia upande wa skrini anasikilizia upande wa nyuma (usawa wa kamera). Wajue tu kuwa sio fasheni bali ni maangamizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umewahi kukutana na msemo huu? 1. There is no News in True News and there is no Truth in the News! 2. No News is bad News, Good News is no News and Bad News are News!
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Ajali ya kuzama kwa meli iliyotokea zanzibar ni matokeo ya serikali na wananchi kuishi kwa mazoea. Hivi inaingia akilini kwa meli yenye uwezo wa kubeba watu 610 kuwa inasafirisha watu karibu 1000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini haswa kila tunapokuwa na Rais muislamu mambo na majungu kibao yanaanziswa juu yao,nakumbuka sana wakati Mwinyi anaingia madalakani Nnchi ilikuwa imeooza kabisa,hakuna hata huduma...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mtu mwenye registered business ya furniture au vifaa vya nyumbani naomba ani-PM, details za deal tutadiscuss 'inbox'. Deadline ni Jumatatu tarehe 12.09.2011
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lile duka kubwa kabisa pale mlimani city limefungwa kwa amri ya kamishna wa TRA kutokana na majibishano juu ya kutumia kifaa cha electronic cha kufanyia mauzo (EFD). Wakati TRA wanalazimisha vifaa...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Je unadhani matokeo yatakuwaje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) has picked Godfrey Fernandes its new chairman for one-year tenure in office. Fernandes, who is chief executive officer of GAPCO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa tume ni Rostam. Sababu haina mzawa wa Tz unaalikwa kuomba kuwa mjumbe, Link hiyo hapo chini.Karibuni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
| Tanzania Minister for Health and Social Welfare, Dr Haji Mponda After prolonged public discussions and pressure, Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) yesterday cleared the...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la Miss Universe kule Brazil (J'tatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu). Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa kweli inauma sana kuona watanzania wenzetu wengi ktk maeneo ya vijijina wanaishi kwa kutokuwepo kwa kesho yao...ktk pita pita yangu baadhi ya maeneo ya vijijini ya mkoa wa dodoma,singida na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika gazeti la mwananchi la leo ukurasa wa pili nimekutana na picha ikimwonyesha Rehema Mohamed (diwani viti maalum CHADEMA-Arusha Mjini aliyetimuliwa uanachama) akichangia hoja katika kikao cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..Walituambia kuwa makali ya mgao wa Umeme yatapungua. Lakini naambiwa Arusha mambo yanazidi kuwa magumu. Hadi operations Mount Meru hospital zinafanywa kwa kutumia rechargeable lights na kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Mbunge wa Nyamagana Ezekia Dibogo Wenje,MB(CHADEMA) leo atakuwepo katika viwanja vya sahara kuanzia muda wa saa tisa alasiri akizungumza na wananchi.Pamoja na mambo mengine atatoa taarifa...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita. CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA SAMAKI WALIOINGIZWA NCHINI KUTOKA JAPAN 1. Utangulizi Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 24 Julai 2011, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilitoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom