Habari za saa hizi wakuu?..
Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa...
Leo nipata Neema ya kudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege inayoendelea viwanja vya biafra kinondoni jijini Dsm, kipekee ilikuwa semina yenye Baraka na inayoashiria mwanzo Mpya wa...
Jamani natumia bundle ya internet ya airtel kwenye simu yangu. Lakini kwa siku kadhaa sasa kila nikijaribu ku download kitu chochote inafail...naomba kufahamu ni mimi tu au nawewe umekutwa na hiyo...
Wapo wengi wanaishi maisha yasiyo yao lakini wanahisi hayo ndio maisha walioandikiwa
sio kweli pengine ukutakiwa kuishi nyumba za kupanga pengine ulitakiwa uwe na biashara 'kubwa lakini
leo hii...
HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI...
Nimejaribu kufanya utafiti ktk vyuo vingi vya Kikiristo TZ, na nimegundua kwamba Wanafunzi ktk shule hizo hawafundishwi Ethics ktk Business courses and Ethics in Leadership.
Hili ni tatizo kubwa...
SERIKALI za Tanzania na Msumbiji zimekubaliana kubadilishana wanafunzi wa elimu ya juu na kwa kuanzia mwaka huu wanafunzi 50 kutoka pande zote watafaidika na mpango huo.
Waziri wa Elimu na...
Wana JF leo jioni mkurugenzi msaidizi wa elimu wa bodi ya mikopo amesema, nammnukuu:
"WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO MWAKA HUU WAJARIBU MWAKA KESHO"
nawaonea huruma watoto wa wakulima...
WATU wanne akiwamo Mwalimu Mkuu na Msaidizi wake wa Shule ya Msingi ya Kagwe kijijini Kagwe, katika Kata ya Siloka, Bukombe mkoani hapa, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa wakiandaa...
Nimesoma Tanzaniadaima jumatano makala ya Bakari Mohamed isemayo 'Raisi Kikwete amesahau wajibu wake?'' ameeleza mengi ambayo kimsingi nakubaliana nae ila kuna sehemu anasema kwamba ahadi ya mwaka...
Nora Damian
ZIKIWA zimesalia wiki mbili ili amalize kifungo chake cha miaka miwili jela, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba...
wakuuu
Hpa tuweke quote fupi fupi za wikileaks amabazo tunaona zina taarifa iwe ni nzuri au mbaya kw ajamii Sambsmba na hiyo tuweke ID au link ya cable yenywe Nukuu hizo ili wataopena...
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
wana JF wenzangu nataka kwenda kusoma degree ya kwanza nchini china, naomba kuuliza kuhusu ubora wa elimu ya china na degree ya kwanza China unasoma kwa miaka mingapi?
Wadau jana nimeshtuka sana na kustaajabu baada ya kusoma tangazo la kazi lililotolewa na gazeti la Daily News la jana kwenye ukurasa wake wa 5.
TPDC wanatafuta mhasibu msaidizi na awe na sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.