Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mahubiri ya Pengo yaliyokuwa yanarushwa na TBC1 yalikatizwa ghafla saa 6:45 mchana leo Jumapili na kuweka muziki wenye theme ya amani kuondoa makali ya mahubiri hayo yaliyokuwa yanarushwa ktk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Fidelis Butahe MATUMAINI yaliyotolewa na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kwamba makali ya mgawo wa umeme yangepungua kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni karibia wiki sasa ukifungua webiste ya Law school of Tanzania unakuta imebakwa (hacked) na maharamia wa mitandao. je wanalitambua hilo na wanajua la kufanya?. USIKUTE NI LAANA YA WANAOGRAGUATE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATAALAM wa Afya wa Afrika Kusini wamesema samaki walioingizwa nchini kutoka Japani na baadaye kuzuiwa wasisambazwe wa hofu ya kuwa na mionzi inayoweza kuathiri afya za watu, ni salama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natangaza rasmi kutomtambua huyu waziri wa mgao wa umeme w.ngeleja na ninaapa kwa jina la mungu tukikutana mi na wewe ni maadui na hata kwa bomu ntakulipua msh...nzi mkubwa wewe....huwezi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Najiuliza sana kuhusu suala la ubabaishaji unaoendelea kwenye nchi yetu ya Tanzania. Naona mambo hayaendi sawa, huku viongozi wetu wakikabiliwa na kashfa mbalimbali, mikataba mbalimbali hewa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mungu aikumbukw hii sekta mungu aikumbuke nchi hii kwenye uzembe uzembe uondoke penye uvivu uvivu uondoke kwenye haki mungu akawakumbuke pale panapoitajika kufanya marekebisho mungu akawateu wale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa mi nipo igunga hapa ambapo vituko tofauti vinatokea,ila tukio lililovuta hisia za watu ni la kijana mmoja kumwagiwa tindikali,ambapo imebainika kuwa vijana wa greenguard chin ya nape ndio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kalikawe aliimbia MV Bukoba na kuonya. Alisema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako utasababisha ajali kama ya MV Bukoba" Yametimia zanzibar kwa MV spice islanders. Tatizo la...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Katika hali halisi serikali ndiyo yenye dhamana ya kulinda mali ya umma. Mali hiyo ya umma siyo ya viongozi wa serikali bali ni ya watanzania wote. Katika miaka ya hivi karibuni kumezuka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, kuna jengo la gorofa kati ya Kituo cha Mafuta cha Bamaga na Maryland Bar upande wa kushoto kama unatokea Posta kwenda Mwenge liko hatua za mwisho. Yaani, karibu litafunguliwa. Cha...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua, Muslim Universities zipo kwenye nchi gani zingine mbali na Tanzania? Na zenyewe zinaendeshwa kama huku kwetu Tanzania kwamba hata enrollment imekaa kibaguzi? Waalimu wao wana...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
'I thought Tanzania is mourning the deaths of those who died when the ferry capsized..<br /> How come the beauty contest (Miss Tanzania) haven't been postponed?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Mv. Bukoba 2. Ajali ya treni iliyoshindwa kupanda mlima, ikarudi nyuma (Dodoma) 3. Air Msae 4. No Challenge na nyingine nyingi.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Updated 9 September 2011 This advice has been reviewed and reissued with amendments to the Travel Summary and the Safety and Security Crime section (increase in incidents of muggings, bag grabs...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Nadhani imefika wakati sasa wote waliohusika kwa namna yoyote ile na uzamaji wa meli ya zanzibar kufungwa maisha tena kesi iwe fupi kuliko kawaida ili kutenda haki kwa wote walioathirika .... we...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ajari ya treni ambayo ilitokea mwaka 2002,na maziko yake kufanyika mkoan dodoma sasa yamegeuka kuwa gesti bubu na kichaka cha kuvutia bange.Jukumu la usafi wa eneo lile ambalo lina UZIO lilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Hii barua menisikitisha .Inaelekea mwandishi alikurupuka bila kufanyia marekebisho ya kutosha.Inasikitisha watanzania waliopo nje ya nchi ambapo inaaminika ndio wameenda kumchukua utaalamu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiangalia kwa makini Tangazo lililotolewa na TCU kwa Umma wa Watanzania na kilichofanyika hadi leo utashangaa. Kwa nini wasitoe tangazo jingine kuwaomba radhi wananchi wa Tanzania? Hebu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
A PROMINENT businessman Yusuf Manji, on Thursday, filed a plaint at the High Court against the IPP Executive Chairman, Mr Reginald Mengi and eight others for deliberately conspiring to defraud...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom