Askofu Mdegela ambaye amekuwa akilalamikiwa na makundi mbalimbali ya watu kuwa ni MZINZI na MBADHIRIFU WA MALI ZA KANISA ameanza kuumbuka baada ya kubainika KULAZIMISHA mtoto wake wa kumzaa awepo...
Hii nimeipata kwenye blog ya Bongo Celebrity alipokuwa akihojiwa Mheshimiwa sana Zitto Kabwe,Wanajanvi kama thread hii haijawahi kuletwa humu nadhani ni wakati muafaka kujadili juu ya ukigeu geu...
jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege...
mi ni mpya kidogo humu ndani ila naomba kuuliza swali hili
Kwa mtazamo wangu naona bila maji na umeme inawezekana kwani yapata miaka mitatu bila umeme na maisha yanasonga mbele hasa sisi wa...
kwa tunaotumia barabara ya ali hassan mwinyi daily hapa dar
tunafurahi kuona upanuzi umeanza wa barabara hiyo......lakini
kwa kuwa upanuzi unafanywa kuanzia mwenge kwenda tegeta tatizo la foleni...
Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani...
Kama unamiliki kiwanja wilaya ya kinondoni, nakushauri uende wizarani kufanya search kujua kama hati yako ni genuine au fake.
Source ya haya yote ni taarifa ya habari TBC1
Hii nimeisikia jana..kuwa Gazeti la Mtanzania linatakiwa kumuomba radhi mh Sumaye..katika magazeti yao kwa siku saba mfululizo kuanzia leo..
Source:ITV News
Ndugu zangu,
Ndani ya siku tatu za kupiga kura kwenye Pima-Maji ya Mjengwablog, watu 165 wameshatumbukiza kura zao. Matokeo mpaka dakika hii ni Joseph Kashindye wa CHADEMA anayeongoza kwa kura...
RAIS na Jakaya Kikwete* amewapandisha* vyeo,* makanali saba wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuwa mabrigedia Jenerali, kuanzia Septemba 2 mwaka huu.
Taarifa ya JWTZ* ilisema maofisa wanne...
A lack of activity in the bedroom is enough to damage any marriage, but one wife has taken blame to another level by suing her ex-husband for almost £10, 000 because he did not have enough sex...
One of the children's home in Tanzania has been sending their children to study in the Uk for the last three years. The social welfare in the area was in favour of this although they did have some...
Nimefuatilia vyama vyote nchini CCM, CDM, SAU, TLP, NCCR, UMD, DP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NLD, TADEA, APPT MAENDELEO, n.k nimeviangalia majina yao lakini hayakunipendeza lakini hiki CHAMA CHA...
Tanzania ni moja ya nchi inayokuwa katika Soko la Mawasiliano (Telecommunication) na karibia kila mtu ana simu ya kiganjani. Kama tunaweza kutransfer pesa, kuangalia salio katika akaunti yako kwa...
Salaam wakuu!!
Miaka ya tisini mwanzoni kuna mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa akifanya biashara ya dawa za kulevya alikamatwa yeye gari lake. Gari lake hilo (tractor/kichwa) kilikaa muda...
Wan JF naomba mchango wenu kuna baadhi ya mashirika ya habari yanamuita aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak kuwa ni Firauni wa zama hizi. Swali langu je ni sawa kumpa sifa au jina hili. je kweli...
Kwani ile mitambo imeanza uzalishaji lini?Sie huku in ths part of the city ni siku ya pili hadi sasa hatuna umeme na hatuambiwi hata sbb yoyote ya msingi!Baada ya kututesa na upatikanaji wa luku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.