Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naomba kuuliza, Tanzania Revenue Authority ikiwa kama chombo mhimili wa serikali katika kukusanya mapato ya nchi hii ni kwanini hawana ofisi za maana yaani jengo lenye kuendana na hadhi yao?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba James Magai BAADA ya kukutwa na simu akiwa jela, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wed, Sep 7th, 2011 Tanzania Arusha Urban lawmaker Godbless Lema The Arusha High Court will decide the fate of the election petition against the ArushaUrban Member of Parliament, Mr Godbless...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani katika pita pita nimekutana na habari kuna mabinti wawili wa kitanzania wameenda kuiwakilisha tanzania katika bunge la vijana la common wealth huko uingereza kuanzia tarehe 6-10.ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kutonywa namsamaria mwema sijui tumuite ama kanyimwa mgao jeshi limekamata kilo 97.8 za heroine mchana huu njia ya kunduchi beach..na watu watano wakiwemo wakina rostama aka iran wawili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya chibuku kulipa kodi kubwa kuliko migodi yote minne inayomilikiwa na barrick,sasa barick yaamua kutoa msaada wa bilion 16 za uwekezaji vijijini!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana watanzania tumekuwa tukisikia watu mbalimbali wakikamatwa kwa makosa ya kukutwa na kete au mafurushi ya madawa ya kulevya,,,,,,mfano mmoja wapo ni jana ambapo kikosi cha madawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SWALI LA LEO LA KIPIMA UPEPO LINAULIZA HIVI:- Unakipa nafasi chama kipi cha siasa kuibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 mwezi ujao? A) CCM...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Katika kujitafutia kipato nimeamua kugeukia ujasiriamali. Basi leo nikaamkia Sinza Mori nyuma ya sheli ya Big Bon kuna jengo la gorofa pale nikafika kwa ajili ya kuweka order ya sehemu ya...
5 Reactions
145 Replies
11K Views
SIRI za ugoigoi na ulegelege wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete zimefichuka. Ni uchu wa urais, ambao umeibua makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraza la Mawaziri na Bunge, MwaHALISI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
USIONE UKAHISI WAMEPENDA KUCHEZA MPIRA BALIKUJILIWAZA NA MATATIZO YANAOENDELEA KILA SIKU KUHUSU ADA ZAO NA PESA ZA KUJIKIMU SIO WENGINE NI WATANZANIA WAISHIO URUSI AKA MOSCOW
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa hii Radio lakini ninashindwa kuelewa mwelekeo wao katika kutoa habari.Inaonekana kana kwamba haina ulazima wa kusomea uandishi wa Habari ama kuwa na taaluma inayohusiana na...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Leo mamlaka ya hali ya hewa imetangaza kuwa mvua zitaanza kunyesha wiki ya pili ya mwezi huu.na pia kuzungumzia upatikanaji wa umeme kwa mvua kujaza mabwawa.hii mamlaka imekuwa msemaji wa tanesco...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali msaidie " Mzee Kipara" Unamfahamu muigizaji mkongwe anayekwenda kwa jina la ‘Mzee Kipara?" Kama jibu ni ndiyo basi soma habari hii. Mzee Kipara ambaye jina lake halisi ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!<br /> My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo! source: chanel ten-habari
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana wakat wa kikao cha Bunge alisimama mama mmoja mtu mzima ambaye alikuwa akichangia hoja juu ya wizara ya mambo ya ndani,sikuweza kujua ni MBUNGE wa chama gani,mama huyu kwenye mchango wake...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Moja ya sera ya chadema ya kupunguza matumizi iliyokejeliwa sana na CCM ni ya kufuta cheo cha wakuu wa wilaya na mikoa. kuna mikoa na wilaya imekaa mwaka mmoja bila viongozi hawa na hakuna athari...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Rais Jakaya KIkwete amemteua Mheshimiwa Anna Margaret Abdallah (mb) kuwa mwenyekiti mpya wa bodi ya Korosho. Source: Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jana nikuwa jijini Mwanza nikapita viwanja vya furahisha nikaona matangazo na maandalizi ya mahubiri yatakayoanza j'tano. Kilichonivutia ni kwamba nikaona picha ya binti anayedaiwa kuwa alikufa na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
A man went to a barbershop to have his hair cut and his beard trimmed. As the barber began to work, they began to have a good conversation. They talked about so many things and various...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom