Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hapa Chang'ombe Bora mbele kidogo ya magorofa kuna mafundi seremala, nyumba wanayofanyia kazi inaungua, napiga simu namba ya dharura, sijawapata, nimesha ripoti Chang'ombe polisi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani naomba waziri wa Hii wizara ajiuzulu Hapa tumekamata pembe 700 nipo Malysia Zilikuwa zinaenda China hazina kibali ↲ Nawasilisha
0 Reactions
27 Replies
3K Views
nilifuatilia kauli ya Maige kumsimamisha mkurugenzi wanyama pori lakini kinachonishangaza ni tarehe ya kusimamisha alisema nanukuu 'leo tarehe 18 mwenzi 11' mwisho wa kunukuu wabunge hawajaliona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwa nini Premy na crew yake wanazidi kufanya kila jitihada kuzuia access ya inner workings za Ikulu? Mfano, hawakufanya any public consultation kabla hawajata ile miti kule nyuma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Contribuations plz?hli swali liko kwenye interview tht am going to face soon.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna nyeti bado hazijawa rasmi kwamba upo mkakati wa kijasusi wa kuingiza taifa hili kwenye maandamano makubwa very soon. Mkakati huo unaundwa na majususi kutoka nchi mbalimbali za ulaya na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni kweli tangu vyama vingi vimeingia gazeti la UHURU limekuwa likipingua na hatimaye kukosa kabisa wasomaji. Lakini kwa kunagalia thread za humu unaweza kubaini linavyoweza kupata wasomaji. Mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama yetu rita mlaki amezidiwa gafla jamani sijui ugonjwa gani ameshuka salama kabisa kutoka kwenye ndege na hivi sasa wanampeleka kwa tax ikiwa na honi za kufa mtu kutoka arriv airpor imebidi...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Source.. Mwananchi gazeti. Tarehe 03/09/2011
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ikulu imepinga kwa nguvu sana juu ya kashfa ya rushwa inayomkabili aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ambae kwa sasa ni Rais wa JMT Jakaya Kikwete, lakini pia katika...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, Napenda kuleta hoja yangu hapa, Mara baada ya Rais JK kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania 2005 na ukapita mwaka mmoja ywa uongozi wake JK aliibuka kidedea kuwa ana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MICHUZI: JK Aizawadia NSSF kwa Mchango katika ujenzi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Magazeti "huru" ya kila siku, ikiwemo Mwananchi, Nipashe, Guardian, Mtanzania leo yamepuuzia habari ya Wikileaks kuhusu tuhuma za Rais Kikwete kupewa rushwa na mfanyabiashara wa Dubai anayemiliki...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Idi Amin lectures his cabinet on spys - YouTube Hapo lazima mawaziri washike adabu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JK aponzwa na Msimamo tete wa Tanzania kuhusu LIBYA Wiki Leaks yatumika Kumfunga Mdomo Tuhuma ambazo zinasambazwa kwa sasa na Mtandao wa Wiki leaks ni juhudi za wazi za idara ya ujasusi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nafikiri kuna kila sababu ya nyumba za ibada kutoitwa majina ya watu, maana watu hao watakapokumbwa na kashfa inamaana nyumba hiyo ya ibada itajikuta nayo imepata kashfa. Hii ni pamoja na kuepuka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SERIKALI imewaagiza wamiliki wa shule binafsi za msingi na sekondari kote nchini, waache kuwavalisha majoho na kofia, wahitimu wa elimu wa ngazi hiyo kwa sababu kitendo hicho kinadhalilisha vazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafakari:Ni ajabu Chibuku kuizidi dhahabu katika ulipaji kodi Tanzania! Saturday, 03 September 2011 18:54 Na Julius Samwel Magodi WASWAHILI wanasema zubaa uliwe. Hilo ndilo linalotokea...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
GOLD prices topped $US1900 a troy ounce today as worries about slowing growth and European debt whetted appetite for the metal's perceived safe haven. Gold for December...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom