Serikali ya tanzania inampango wa kuanzisha kutoa elimu ya juu kwa njia ya mtandao ili kulabilian na tayizo la wahadhiri. Proffesa Wilbard Abeli Mkurugenzi wa Elimu ya juu Tanzania amesema hili...
Wachungaji wa KKKT jimbo la Iringa wamwandikia barua askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT na kopi kuipeleka kwa JK wakimlalamikia Bishop Mdegela.
Soma attachment.
Ndg zangu! Ahadi ni deni! Tuna ahadi toka ndani ya Bunge le2 tukufu ya waziri mkuu ya kwamba ifikapo tarehe tajwa hapo juu hakika mgao wa umeme hapa nchi imekwisha na nafikiri Watanzania wote...
Human tail: Just Nature Going Wrong!
Animals use their tails in a variety of ways. They provide a source of locomotion for fish, land animals use them to brush away flies, some animals use...
Jamani habari za mchana,habari ya KAGODA imeshia wapi? sijasikia serikali kuwakamata watuhumia zaidi ya kusikia mtoa ushahidi kuhojiwa,je kuna progress yoyote katika hii kesi?naomba kujua maana...
Mara nyingi kila ukisikia mojawapo ya hotuba za Jk anasema kwamba" namnukuu: Tanzania ni moja wapo ya nchi ambazo uchumi wake unapanda kwa kasi sana! Mwisho wa kumnukuu. Kila siku najaribu...
Kuna ubaya gani kurudisha jina letu la Lweru kama ilivyokuwa zamani badala ya kuendelea kutumia jina la Victoria eti kwa heshima ya aliyekuwa malkia wa Uingereza?(Lweru-Ziwa Victoria)
source: http://www.wavuti.com/4/post/2011/09/kero-za-t
Daily News | Dock workers union petitions govt over TICTS shares
TICTS lawamani kwa upotevu wa mizigo
DOCK Workers...
BBC imegundua kuna biashara ya wanawake na watoto wa kike nje ya nchi,biashara hiyo imeshamiri sana jijini Dar,wanawauza kwa bei ya juu kwa nchi kama,China,Korea.Saud Arabia etc,na huko wanaenda...
Wakuu habari za majukumu?
Leo nimekutana na kali ya mwaka katika duka la Shivacom lilopo Samora Avenue karibu na makutano ya Morogoro road na Samora avenue, wanaopafahamu ni karibu na JJ...
Marekani imekumbwa na janga la moto,moto umbao hadi sasa umeunguza ekari 3.5 millioni na kuua mtu mmoja kwenye jimbo la TEXAS,moto huo kwa leo umeingia kwenye eneo la ekari 25,000,inasemekana kuwa...
Kuna wimbo wa umefanywa na wasanii mbalimbali wa hapa nyumbani Tanzania ktk kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ingawa wenyewe wanadai miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Jambo linalonisikitisha...
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO
Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa
Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata elimu bora ya kukidhi maisha...
kwa mujibu radio ujerumani,idhaa ya kiswahili leo mchana.vipande mia saba vya meno ya tembo yenye thamani ya USD MILIONI MOJA vimekamatwa nchini malaysia vikiwa katika shehena ya kontena mbili...
Kiungo nguli wa kibongo anae kanyaga ndimu pale canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!<br />
Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya...
Jana nimesoma habari kwenye gazeti la Nipashe kuwa, walinzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili walilizuia lori lililokuwa limebeba maiti wengi kutoka nyumba ya maiti hospitalini hapo, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.