It hurts!!!!!
Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.
* The 'Second Class' passes, and then pass MBA, become Administrators, Directors and...
Wadau naomba mnisaidie kujua tofauti ya haya mashirika mawili kwa maana ya ubora na faida kwa mwanachama. Nahitaji kuwa member katika moja ya haya mashirika na sijapata details zao!
Kwa wale waliosoma IFM miaka ya kuanzia 2000 watakuwa wanamfahamu sana mr credo celestine, ameaga dunia ghafla baada ya kupanda pressure na kuanguka, alipofikishwa hospitali muhimbili madaktari...
CCM haifai kuongoza nchi. Wanatakiwa watolewe madarakani na Wananchi kwa Maandamano ya Amani. Aljazeera inakuja-itasaidia ktk kutangaza habari za Maandamano Duniani. Miaka 50 ni mingi sana. Nataka...
Hivi unakumbuka kipindi kile ukiwa bado mtoto siku za sikukuu kama vile Eid, Xmas na Pasaka ukishakula pilau yako na kuvaa nguo mpya mchana ulikuwa unaenda kutembea wapi? Wale waliokulia dar wengi...
Baada ya mh Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoa speech kwenye baraza la Idd mjini dodoma kwenye msikiti wa Gaddaf. Waislam wametaharuki na kusema kamwe hawakuamini masikio yao kwa nyundo alizoshusha...
Akiongea Leo katika msikiti wa Idrissa Imam mkuu ALLy Basaleh amesema hakushangaa na majibu aliyotoa Rais jakaya mrisho kikwete kwani ndio uwezo wake ulipoishia, amesema kuwa alikutana na maaskofu...
Kumekua na malalamiko ya makada ambao wametangulia hapa Igunga kwa maandalizi ya Kampeni kwa kulipwa posho ya Tsh 30,000 kwa siku! Hapa Igunga lodge ya bei ya Chini ni 15,000! Kumekua na majibu ya...
Nimekuwa nikijiuliza yu wapi kamanda tosi ambaye alijizolea umaarufu siku za nyuma kwa uhodari wake katika operation mbalimbali ndani ya jeshi la polisi.leo hii nimemuona kwenye taarifa ya habari...
Prostitutes in the German city of Bonn must carry a ticket purchased from a new parking meter-like machine while working the streets or face hefty fines from tax authorities in a scheme launched...
wakuu habarini za muda?? Tangia juzi usiku, umeme jijini arusha (maeneo niliyopo - kijenge, njiro na mjini katokati) haujakatika hata kwa dakika moja, je na sehemu nyingine pamoja na mikoa mingine...
Watu wameiba leaf za sticker za fire kwa magari na majengo.
Sasa kama ata sticker ambazo zimeibiwa ambazo kila moja ina gharama ya angalau 30000tshs basi tz tulipofikia ni pabaya!
MZEE WA MZIMA BONNAVENTURE AAMUA KKUOA KESHO UJUMBE ANAOOMBA SASA NGONO NJE BASI
ANAOMBA WANAWAKEWOTE WALIOPATA BAHATI YA KUWA NAE WAAHESHIMU UAMUZI WAKE NA KWA KUSISITIZA
KESHO AMEOMBA WIMBO WA...
Annual Consultative Meeting & Exhibition 2011
Contractors Registration Board - CRB invites all Contractors and Stakeholders to the Annual Consultative Meeting & Exhibition 2011 which now will...
Ndugu wanaJF, nimejaribu kujiuliza hili swali ila sikupata majibu kabisa! 'HIVI MUNGU HUWA ANAKUWA UPANDE GANI IKITOKEA UPANDE MMOJA UNADHULUMU NA MWINGINE UNADAI HAKI? Kama anakuwa upande wa...
Hii ni kufuatia ajali ya basi la kampuni hiyo mkoani Dodoma.Zuio hilo linaanza kesho,litadumu kwa muda usiojulikana kupisha uchunguzi-sumatra.SOURCE TBC TAIFA-habari.
Mbunge wa ubungo(JOHN MNYIKA) amewapa DAWASCO siku moja ya kuhakikisha wakazi wake wanapata maji mpaka kesho vinginevyo wataandamana mpaka kwenda DAWASCO kudai maji.
source: EAST AFRICA...
Ndugu wana JF nimepata tetesi kutoka kwa mtu aliye karibu na wizara ya nishati na madini kuwa ile 'tamthilia' ya akina 'JAH HERO' itaendelea kama ifuatavyo;
Vasco da Gamma ana mpango kuwabadilsha...
Waungwana,
Tangu asubuhi ya leo magazeti yote ya IPPMEDIA hayapatikani mtandaoni. Kuna yeyote aliyefanikiwa kuyasoma magazeti hayo mtandaoni leo?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.