Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wachangiaji waliowengi wamekataa kuwa si maendeleo. Nimependa sana wageni wa leo. Wamejitahidi kuonesha usomi wao ila kuna kijana mmoja anasema kuna benki ya vijana na akajibiwa kuwa hiyo ni ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama watanzania wenye upeo na mtazamo chanya tuna haki na wajibu wa kuwapuuza hawa wanaoandaa na kutetea hoja za kibaguzi/chuki zenye muelekeo wa kugawa nchi ikiwa ni kidini ama kimakabila.Hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matumizi ya Green na Brown cards za NHIF zinabagua wanachama na zinasababisha matibabu hafifu kwa wala wanaotumia Brown card.Je hii ni sahihi hasa kwa maana kuweka baadhi ya Hospitali kubwa kutibu...
0 Reactions
16 Replies
16K Views
Kwa wale wazoefu / experienced naomba msaada jinsi ya kuanzisha premium rate sms service mfano ringtone download au astrology. Assume tayari ni shadevelop software ya kurecieve/parse/kusend sms...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwaio ndio tumefikia hapo wabongo, kusali na kuomba ili mvua ije ijaze mabwawa yetu. Tuokoe kilimo na muhimu zaidi tupate umeme wa kueleweka. Je wenzetu wa UK, Japan, USA na nchi zingine huwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi owners wa hii migahawa wamelewa wateja au kitu gani? au ndio washawaweka watu wa Afya wa JIJI kwenye payroll?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
PENGINE HILI LITAWAFUMBUA MACHO KWA KUKUMBUKA ALIOSEMA RAIS ALIEPITA MH MWINYI SRC HABARI LEO WAISLAMU wameshauriwa kujenga shule zingine badala ya kutarajia kurudishiwa zilizotaifishwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wa Zimbabwe wakataa kutahiriwa: Wito ulitolewa kupambana dhidi ya ukimwi ! Chanzo bbcswahili - http://t.co/1v4N4gF
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna ajali imetokea maeneo ya Nala umbali kdg tokea Dodoma, habari ni kwamba imeua watu weng. Gari ilikua ikitokea Mwanza kwenda Dar.
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Ndugu wapendwa wote wafanyakazi wa swissport dar jro na east africa nzima polen kwa msiba mkubwa wa ndugu yetu kaka yetu mr muyanza loadcontroller aliefariki kwa ajali ya gari pale njia panda...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habali zilizo toka leo Aug,31,2011 jioni,diwani wa kata ya Kirumba( Mwanza ) kupitia CDM nd.Novatus Manoko kafariki dunia.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa niaba ya waislam wote wanaotumia Jamii Forum ningependa kuwatakia Iddi njema leo. Pia ningependa kuwatakia wale ambao wanasubiri kutangaziwa na BAKWATA au Serikali kama kesho wale Iddi (...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Samahani kwa usumbufu wandugu, TCU wametoa majina na humu JF kuna wadau wametoa link zao kupata kirahisi, manake ya TCU haifunguki. Ombi: Ndugu zangu me natumia simu ku access internet...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wa jina kamili kwa kiingereza la wizara inayoongozwa na Mh. Magufuri. Nisaidieni kabla sijasema ni ministry of construction. Msaada wajameni lugha sio yetu hii.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Eid Mubarak Wakuu ...!! Hatimaye yale matangazo ya Televisheni ya kituo cha Star TV tuliyoyakosa kwa kipindi kirefu jijini Arusha (ikiwemo na Midahalo kadhaa iliyowahi kuandaliwa na kurushwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waungwana naomba kuuliza kuhusu kesi za uchaguzi mkuu mwaka 2010. Je! Kuna kesi ambazo zimeshatolewa maamuzi? Maamuzi yake yalikuwaje? Kama hakuna ni lini kesi hizi zitafikia tamati?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AFP - 11 hrs ago   Bonn, the former West German capital, has introduced a parking meter for prostitutes, a first in Germany, in order to tax those who just work the streets, a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JAMANI KAMA WANASUBIRI UJI WA MTOTO NAMWONA NDUGUYANGU ABDULAHIM MASKINI KWELI TANESCO HAMNA ADABU JAMANI EMBU JIANGALIEN WAPI TATIZO MKISHINDWA EMBU ACHIEN OFISI WANAUME WAAFANYE KAZI
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Police on the scene at Playland on Tuesday (Norman Y. Lono for NY Daily News) 'It's clear, this all happened because we're Muslim,' says Dena Meawad. (Norman Y. Lono for NY Daily News)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom