Katibu wa Nec, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa magazeti ya kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, alipotembelea ofisi za...
habar wa jf hv ndugu zangu dstv wanamatatizo gani gharama zinazidi kupanda sana au wao ndo wanazijua pesa sana kuliko sisi mm nadhani kampuni nyingine ijitokeze watashusha bei wenyewe wana jf...
Wadau ni muda sasa zantel wanatangaza watu waongeze salio kupitia Mimina huku wakipata bonus ya nusu ya salio waliloongeza. Cha ajabu bonus hii ina sifa zifuatazo.
1. Kama simu yako inayo salio...
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu
ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo...
Salaam Alyeikum mabibi na mabwana
Hatimae mwezi umeandama na kesho itakua siku kuu ya Idd el Fitr kumbuka kutoa sadaka na kutenda yaliyo mema. Mungu awajaalie muwe na afya njema na atukinge na...
Slain Navy SEAL's Loyal Dog Remains by His Side at Funeral
During the funeral for US Navy SEAL, Petty Officer Jon Tumilson, who was killed in a helicopter crash in Afghanistan earlier this month...
Jana kumetokea na ajali ya gari aina ya Randrover inayofanya safari zake tokea Mbinga kwenda mji mdogo wa Mbamba-bay hapa mkoani Ruvuma ambapo gari hiyo iliyokuwa inaendeshwa kwa mwendo kasi...
Kuna wakati unampigia ndugu,jamaa au mke unasikia simu inaita tu,ukienda kukutana naye anakwambia mbona simu ilikuwa imezima! Na mwingine hiyo line ya Airtel wakati huo haitumii na simu inaline...
Sasa hivi kinaendelea kipindi cha hoja yangu radio one stereo. Mada- KUBADILIKA BADILIKA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI, miongoni mwa wazungumzaji ni mwanaharakati Renatus Mkinga, watch out!
Fiqh Council of North America Announces 2011 Ramadan and Eid Dates | ISNA
Fiqh Council of North America Announces 2011 Ramadan and Eid Dates
The Fiqh Council of North America Announces...
Ki ukweli nimeshindwa coz kama umakini nimejalibu kuwa makini zaidi ya umakini wenyewe nimezuia update automatic zote kwenye ma laptop,nilinunua bandle ya 1gb nimekaa nayo siku kumi tu tena nasoma...
Ni kwa muda mrefu sasa mitandao yetu ya simu imekuwa ikijishughulisha na huduma za kibenki na imefanikiwa kurahisisha sana huduma ya utumaji, upokeaji wa fedha pamoja na kulipia garama mbali...
Tokea kupitishwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi na naibu waziri kuwadanganya wabunge kuwa polisi wanalipwa posho ya tsh 150000 habari za kuaminika kutoka ndani ya
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge...
Ndugu wana JF,tunaambiwa spika lazima awe mbunge au mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa kuwa mbunge.na atokane na chama cha siasa.wakati bunge si chama cha siasa bali kinachotetea katiba ya nchi.kwa...
Hebu angalia link hiyo chini, huwa najiuliza sana hivi sisi Watanzania ni watu wa namna gani iwapo mtu kaiba kuku kauawa kikatiri namna hii, alafu watu wanaiba mabilioni wanaambiwa wajiuzuru na...
Kumekuwa na kupanda Holela juu ya Bei ya hii Bidhaa ilikuwa ni Tsh 44,000/- juma lililopita lakini kwasasa imeshafika tsh 50,000/- sababu haijulikani yaani genge la wafanya biashara walanguzi...
Naamini kwamba system ya kulipia Parking iliwekwa ili kuongeza mapato ya jiji na pia kufanya mpangilio mzuri wa kuegesha magari kusiwe na kero barabarani!
Jijini Mwanza hawa jamaa wanaotoza...
My Dear President
Ukiacha matatizo ya umeme /jairo/mafuta na wale wabunge machchari waliotaka kutusumbua kisa kuwapa mhimili mmoja wapo wa nchi
Napenda kukuwissh Eid Mubarak ila ukiona kimya my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.