Kwa imani yangu huyu jamaa angekuwepo madarakani hawa jamaa wa mafuta wangeona Tanzania chungu...AKITOKA NYERERE KWA MAAMUZI ANAFUATA MKAPA anakuja Mwinyi kwa kuuza loliondo kwa waarabu, then...
Bora lowasa kuliko pinda kwani pinda umewaangusha wananchi wako,kikwete umeshindwa kuonyesha nikitugani unakipa kipa umbele!Viongozi wasiyo weza kusema kitu juu ya sakata la mafuta wakati wanaona...
Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza...
Wanajamvi mwenye habari kuhusu maendeleo ya kuumwa waziri mwandosya atujuze.
Maana tetesi bajeti ya wizara ya maji itasomwa na stephani wassira tarehe 22/8/2011
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania mh. William Ngeleja nathubutu kusema ana roho ya 'PAKA' (roho NGUMU sana)!! Kwa kweli anastahili kuingia katika Guinness World book of records kwa kuweza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya leo, Jumanne, Agosti 9, 2011, amempokea mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Somalia, Mheshimiwa Sheikh Sharif Sheikh...
Jamani, naangalia luninga yangu hapa; namsikia Mwenyekiti wa Bunge akiwatambulisha wageni, anawaambia wageni kwamba mbunge wao wa Mtera, Livingstone Lusinde anafurahisha sana Bungeni, na kwamba...
jamani tusaidieni ipo siku tutafunikwa,
hili jengo la habour view tower nina wasiwasi na viwango vyake.
upande wa ofisi yetu kulikuwa ni 'parking' hawa wenye jengo wakafanya
marekebisho sasa ni...
Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa kuandika kichwa cha habari tofauti na "mantiki" yenyewe.
Nia yangu ni kutaka kuwavuta wasomaji wafungue thread hii ili katka hao wengi watakaofungua wapo...
Unajua hii nchi iko kwenye muungano na nchi jirani ya zanzibar. Kuna vitu huwa tuna share kwenye muungano wetu. Sasa nataka kujua kama hili tatizo la mafuta liloko huku bara na kule visiwani lipo...
Kwa wale waliofuatilia habari za Babu wa Loliondo, watakumbuka jinsi ambavyo baadhi yetu tulipaza sauti za kuonya kuwa dawa ya mzee huyo ilikuwa kanyaboya! Hata hivyo tulipuuzwa na kuonekana watu...
Unajua tunaposema CCM haifai wakati wa kampeni unakuta watu wanapinga, tukisema Rais kikwete hafai watu wanapinga, tukisema mawizi wa Kikwete hawafai watu wanapinga.
Sasa hivi napumuzika kupiga...
Hakuna wizara yenye nguvu kama Wizara ya Nishati na Madini, sana sana kwenye masuala ya kuwaweka watu kwenye giza.
Kaanza kwa kukata umeme. Wabongo mkajifanya wabishi mkanunua majenereta...
Ni jambo la ajabu sana na kukera sana unapozunguka maeneo ya tanzania ukianzia masasi ukaja mbinga kiwira, njombe, ukapanda hadi ruvuma, kiwira na maeneo mengi ya nchi hii, inasikitisha sana...
nimecheki tbc kwamba raisi wa somalia amekuja pamoja na mambo mengine kubadilishana uzoefu wa kimaendeleo kati ya tanzania na somalia, sasa mimi najiuliza ni ozoefu upi huo wa tanzania kujifunza...
wandugu naomba kuwataarifu kwamba leo tutaanza mgomo rasmi wa kuikataa serikali kwani imeshindwa kufanya maamuzi muhimu kwa taifa kama vile mafuta, umeme ufisadi na kero nyingine mbali mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.